t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,191
- 17,171
Hakuna route ya songea kwa sasa mkuu , halafu Siku hizi hakuna Mambo ya kwenda ofisin kila kitu kipo online , kwa kusini Atcl wanaenda mbeya na mpanda tuCheck na ofisi ya ATCL iliyopo mtaa wa Kenyatta Road hapo Mwanza, watakuelekeza namna utakavyo connect na route yao ya kanda ya kusini mara utakapotua JNIA hapo Dar.