Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Kwa hiyo inabidi usubiri tu stand hakuna hata haja ya kuchukua chumbaJibu hili hapa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kwa hiyo inabidi usubiri tu stand hakuna hata haja ya kuchukua chumbaJibu hili hapa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kwa hii mida kaa tu hapo hapo stand then anza safar tu moja kwa mojaKwa hiyo inabidi usubiri tu stand hakuna hata haja ya kuchukua chumba
Asante nilitaka kufahamu tu ila sio msafiri kwa sasaKwa hii mida kaa tu hapo hapo stand then anza safar tu moja kwa moja
okOndowa keyboard prediction.
Hiyo option ya pili ni busu la kifo , basi za kutoka mwanza kwenda mbeya huwazinapita usiku mnene makambako , na itabidi adubiti kupambazuke ndo aunganishe , kwa baridi la makambako halafu ndo asubirie Basi Hadi kukuche atajuta
Hiyo option ya pili ni busu la kifo , basi za kutoka mwanza kwenda mbeya huwazinapita usiku mnene makambako , na itabidi adubiti kupambazuke ndo aunganishe , kwa baridi la makambako halafu ndo asubirie Basi Hadi kukuche atajuta
Hili ni basi la kwenda wapi 🤣🤣🤣😂🤸♂️Kausha basi
13000 mkuuUmemaliza kila kitu!Options nzuri kabisa,na rahisi kwake ni hizo mbili,kulala dodoma au kupanda la Mbeya na kushuka Makambako,na kutokea Makambako nauli ni 20,000/-
Kumbe,Oi mr panda hadi makambako pale gari za mbeya haziruhusiwi kuondoka zaidi ya saa nne inalala mbaka saa kumi ndio inaenda mbeya
ndo hivyo yaani huwa hazitoboi mpaka mbeya coz hiyo safari ni ndefu mnoKumbe,
Nimejaribu kuwauliza Isamilo express wakaniambia,
Linaondoka mwanza sa 12 alfajir na kufika sa 10 usiku
poa mkuundo hivyo yaani huwa hazitoboi mpaka mbeya coz hiyo safari ni ndefu mno
Dodoma ipi unayoongelea wewe? Au huwa unafikia Dodoma Hoteli nini? Mbona kuna hadi guest za buku 15 nzuri sana tuTatizo la Dodoma gharama katika malazi
😂😂😂😂 miaka hio nilikua natoka zangu mbinga mchana usiku na lala makambako,kesho yake nasepa moro.Makambako kuna Gesti mpaka za elfu 5 hivyo atalala gesti
Soma mada mkuu, kausha linaenda mwanza - songea,Hili ni basi la kwenda wapi 🤣🤣🤣😂🤸♂️
😂😂😂 sawa mkuu. Nilitaka kuchomekea tu kama mheshimiwa prezdaaSoma mada mkuu, kausha linaenda mwanza - songea,
Dawa ya bishoo kuwa bishoo zaidi yake
Umesahau kuweka alama ya =Root- Route
Hahaha...Hiyo option ya pili ni busu la kifo , basi za kutoka mwanza kwenda mbeya huwazinapita usiku mnene makambako , na itabidi adubiti kupambazuke ndo aunganishe , kwa baridi la makambako halafu ndo asubirie Basi Hadi kukuche atajuta
Basi nzuri Dodoma Songea na
Dar es Salaam Songea ni TAVAVILI EXPRESS. full charge, full ac, full interne
Route nzuri utakayo enjoy ni Mwanza Dar Lindi Mtwara mpaka Songea. Nchi hi tamu kila kona ramiAsante nilitaka kufahamu tu ila sio msafiri kwa sasa