Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
Root?
Option ziko 3
1. Panda Bus Mwanza mpka Dar then lala chukua bus la Dar to Songea
2. Panda Bus za Mwanza to Mbeya shuka Makambako lala next day panda bus za Mbeya/Iringa to Songea
3. Panda Bus mpka Dom lala next day panda bus za Dom to Songea
Kausha basiRoot?
Hao wanafunzi wake wataandika lutiMuonee huruma mwalimu huyu anaenda zake kuripoti songea
Basi kumbe ndo mana shule za kata zero zimejaaMuonee huruma mwalimu huyu anaenda zake kuripoti songea
Typing error tu,Muonee huruma mwalimu huyu anaenda zake kuripoti songea
Typing error tu,
Mi siendi kufundisha uko. Naenda Kusalimia tu
sawa mkuu,Root- Route
Option ziko 3
1. Panda Bus Mwanza mpka Dar then lala chukua bus la Dar to Songea
2. Panda Bus za Mwanza to Mbeya shuka Makambako lala next day panda bus za Mbeya/Iringa to Songea
3. Panda Bus mpka Dom lala next day panda bus za Dom to Songea
Sawa shuka Dom pumzika kisha chukua basi ya Songea
sawa,Sawa shuka Dom pumzika kisha chukua basi ya Songea
Hiyo option ya pili ni busu la kifo , basi za kutoka mwanza kwenda mbeya huwazinapita usiku mnene makambako , na itabidi adubiti kupambazuke ndo aunganishe , kwa baridi la makambako halafu ndo asubirie Basi Hadi kukuche atajutaOption ziko 3
1. Panda Bus Mwanza mpka Dar then lala chukua bus la Dar to Songea
2. Panda Bus za Mwanza to Mbeya shuka Makambako lala next day panda bus za Mbeya/Iringa to Songea
3. Panda Bus mpka Dom lala next day panda bus za Dom to Songea
Asante kwa ushauri kuhusu tym ya makambako kwel huwa mida mibovu....Hiyo option ya pili ni busu la kifo , basi za kutoka mwanza kwenda mbeya huwazinapita usiku mnene makambako , na itabidi adubiti kupambazuke ndo aunganishe , kwa baridi la makambako halafu ndo asubirie Basi Hadi kukuche atajuta
Nimesahau kuedit Auto-correct ya android,Root?