Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
- Thread starter
-
- #21
sawa mkuuHiyo option ya pili ni busu la kifo , basi za kutoka mwanza kwenda mbeya huwazinapita usiku mnene makambako , na itabidi adubiti kupambazuke ndo aunganishe , kwa baridi la makambako halafu ndo asubirie Basi Hadi kukuche atajuta
Njoo hadi Dar, ntakusindikiza hadi songea kwa upendoNimesahau kuedit Auto-correct ya android,
Aya nielekeze route nzuri ya kwenda Ruvuma sasa
Na nauli utajilipia sio,Njoo hadi Dar, ntakusindikiza hadi songea kwa upendo
🤣🤣🤣Root?
🤣🤣🤣Hao wanafunzi wake wataandika luti
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba wangoni, wamatengo na wanyasa wanapenda ngono za utotoniThe best ni Mwanza-Dodoma, unalala. kesho yake unakamata Super Feo Bus unatua Songea saa kumi na mbili au saa moja moja hivi.
Kesho yake unanyoka zako Mbinga au Nyasa.
Safari njema mwalimu kafundishe wangoni, wanyasa, na wamatengo waache kwichi kwichi ya utotoni.
Ondowa keyboard prediction.sawa mkuu,
keyboard ya sim ndo ili_predict ivyo, nikasahau kucorrect.
Kwani yale mapangaboi ya Jiwe hakuna route ya Mwanza to Ruvuma?Kwema wakuu,
Nina safari ya kutoka mwanza kwenda Ruvuma, Ombi langu kwenu ni root ipi nikipitia itakuwa rahisi kwangu kufika uko?
Pia ni mabasi yapi mazuri nitumie ili nipunguze gharama, maana vyuma vimekaza.
Shukrani!
Option ziko 3
1. Panda Bus Mwanza mpka Dar then lala chukua bus la Dar to Songea
2. Panda Bus za Mwanza to Mbeya shuka Makambako lala next day panda bus za Mbeya/Iringa to Songea
3. Panda Bus mpka Dom lala next day panda bus za Dom to Songea
Mwanza - Dodoma kisha Dodoma -Songea hii route haichoshi
Kwa nini asiende mpaka Iringa? Kuna mabasi ya MZA - Iringa siku hizi!Mwanza - Dodoma kisha Dodoma -Songea hii route haichoshi
Mwanza-Dodoma-Iringa-Makambaku-Njombe-Songea.Kwema wakuu,
Nina safari ya kutoka mwanza kwenda Ruvuma, Ombi langu kwenu ni root ipi nikipitia itakuwa rahisi kwangu kufika uko?
Pia ni mabasi yapi mazuri nitumie ili nipunguze gharama, maana vyuma vimekaza.
Shukrani!
Dodoma 20,000/= unalala sehemu nzuri tu na maji ya moto unaoga, labda huwa unakwenda macho juu.Tatizo la Dodoma gharama katika malazi
Ukitoka mwanza unafika makambako saa ngapi?Option ziko 3
1. Panda Bus Mwanza mpka Dar then lala chukua bus la Dar to Songea
2. Panda Bus za Mwanza to Mbeya shuka Makambako lala next day panda bus za Mbeya/Iringa to Songea
3. Panda Bus mpka Dom lala next day panda bus za Dom to Songea
Jibu hili hapaUkitoka mwanza unafika makambako saa ngapi?
Hiyo option ya pili ni busu la kifo , basi za kutoka mwanza kwenda mbeya huwazinapita usiku mnene makambako , na itabidi adubiti kupambazuke ndo aunganishe , kwa baridi la makambako halafu ndo asubirie Basi Hadi kukuche atajuta