Route nzur iyo at gharam zip chin MZA-iringa 35k ataingia kule kama sa4 iv night kesh yake mapem tu sa 12 on the way to Songea(20k) anafik sa7 tuPanda basi za Mwanza-Iringa(isamilo or whatever) ulale Iringa upunguze safari,then kesho yake unaamka saa 3 asubuhi,saa 4 unapanda super feo and the like of zinazotoka Dodoma kwenda Ruvuma imeisha hiyo..ukilala Dodoma utachoka sana na hautopata muda wa kupumzika vya kutosha..
Lakini lazima ulale darRoute nzuri utakayo enjoy ni Mwanza Dar Lindi Mtwara mpaka Songea. Nchi hi tamu kila kona rami
Oi mr panda hadi makambako pale gari za mbeya haziruhusiwi kuondoka zaidi ya saa nne inalala mbaka saa kumi ndio inaenda mbeya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miaka hio nilikua natoka zangu mbinga mchana usiku na lala makambako,kesho yake nasepa moro.
ila hapo makambako kuna baridi sana ila asijari atapata maji ya moto
Mwanza hadi Moro, unalala kisha kisha asubuhi panda newforce au superfeo ya songea, Kama zipo gari za mwanza iringa, mwanza njombe ni nzuri zaidi, mwanza Mbeya kisha unashuka makambako unalala kisha alfajiri unaanza safari ya songea mapema saa4 uko songea kama unaenda mbinga, nyasa, tunduru, na etc au ukitaka kuenjoy tulia kidogo ule kuku maeneo ya deluxe na mauno ni wewe tu, kila kitu kipoKwema wakuu,
Nina safari ya kutoka mwanza kwenda Ruvuma, Ombi langu kwenu ni root ipi nikipitia itakuwa rahisi kwangu kufika uko?
Pia ni mabasi yapi mazuri nitumie ili nipunguze gharama, maana vyuma vimekaza.
Shukrani!
Mwanza hadi Moro, unalala kisha kisha asubuhi panda newforce au superfeo ya songea, Kama zipo gari za mwanza iringa, mwanza njombe ni nzuri zaidi, mwanza Mbeya kisha unashuka makambako unalala kisha alfajiri unaanza safari ya songea mapema saa4 uko songea kama unaenda mbinga, nyasa, tunduru, na etc au ukitaka kuenjoy tulia kidogo ule kuku maeneo ya deluxe na mauno ni wewe tu, kila kitu kipo
Picha ya basi mkuuBasi nzuri Dodoma Songea na
Dar es Salaam Songea ni TAVAVILI EXPRESS. full charge, full ac, full internet Wi-Fi
Panda basi mwanza to mbeya,kupitia mtera,shuka makambako ambako utapanda mabasi ya kwenda ruvumaKwema wakuu,
Nina safari ya kutoka mwanza kwenda Ruvuma, Ombi langu kwenu ni root ipi nikipitia itakuwa rahisi kwangu kufika uko?
Pia ni mabasi yapi mazuri nitumie ili nipunguze gharama, maana vyuma vimekaza.
Shukrani!
😂😂😂😂😂Pale noma niliwahi kufika saa 9 usiku nikitokea Dar,,,safari ilikua naenda Songea ilibidi nichukue gesti kwa baridi kali.
Kufika room aisee kila kitu cha baridi hadi kitanda mpaka blangeti la kulalia ,nikavua viatu ili nilale nikashindwa mwishowe nikalala na viatu mpaka asubuhi hii ndo ilikua mara yangu ya kwanza kulala na viatu nikiwa najitambua kwenye kitanda.Asubuhi jua lilitoka saa 5.
Route za bombadier ziko tele daily. Unapaa kutoka Mwanza kupitia Dar hadi Songea. Ndani ya masaa 5 utakuwa Songea na gharama yake haizidi laki mbili! Ukijumulisha hiyo gharama ya mabasi ya kuungaunga ukijumulisha na gharama za malazi na chakula njiani pamoja na usumbufu utagundua kuwa usafiri wa pangaboi ni cheaper.Kwani yale mapangaboi ya Jiwe hakuna route ya Mwanza to Ruvuma?
Kwenye hiyo meli wahakikishe wasionekane na watu wanaojulikana kuizamisha.Option ya nne panda bus mpaka dar then chukua meli inaitwa mv mdee unafika siku hiyohiyo na abiria mnakuwa 19 tu.
DrRoute za bombadier ziko tele daily. Unapaa kutoka Mwanza kupitia Dar hadi Songea. Ndani ya masaa 5 utakuwa Songea na gharama yake haizidi laki mbili! Ukijumulisha hiyo gharama ya mabasi ya kuungaunga ukijumulisha na gharama za malazi na chakula njiani pamoja na usumbufu utagundua kuwa usafiri wa pangaboi ni cheaper.
[emoji848]! Mkuu lini umetumia hiyo njia uliyoielezea?Route za bombadier ziko tele daily. Unapaa kutoka Mwanza kupitia Dar hadi Songea. Ndani ya masaa 5 utakuwa Songea na gharama yake haizidi laki mbili! Ukijumulisha hiyo gharama ya mabasi ya kuungaunga ukijumulisha na gharama za malazi na chakula njiani pamoja na usumbufu utagundua kuwa usafiri wa pangaboi ni cheaper.
Hiyo route haipo kwa saiv[emoji848]! Mkuu lini umetumia hiyo njia uliyoielezea?
Mi - MimiTyping error tu,
Mi siendi kufundisha uko. Naenda Kusalimia tu
Kwa nini asiende mpaka Iringa? Kuna mabasi ya MZA - Iringa siku hizi!
Check na ofisi ya ATCL iliyopo mtaa wa Kenyatta Road hapo Mwanza, watakuelekeza namna utakavyo connect na route yao ya kanda ya kusini mara utakapotua JNIA hapo Dar.[emoji848]! Mkuu lini umetumia hiyo njia uliyoielezea?