Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

[emoji23][emoji23][emoji23]Naona umeguswa boda mwenye kiwango chakee
Hapana naongea hivi kwa sababu ya jamaa zangu ninao fahamiana nao wanafanya kazi hiyo..... weekend wakitulia kwenye halia tako la nyani utawakataa.

Wanabajaji uchafu barabarani hiyo jioni wanavyo panga mstari kuja kuleta marejesho utashangaa.

Lakini chanzo Cha yote hayo ni pkpk
 
Pole umetumia ngv kubwa kuelezea mi nilkuwa nakutania tu,, ila haya maelezo Ni km siyaamini eti Evelyn Salt
 
Aisee, hivi unajua sisi ni watu wazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…