Nadhani hili ndio jibu sahihi. Zingine porojo tuMtumish kuhamishw kituo cha kaz ni jambo la kawaid ambalo husaidia ufanis wa kaz kwa mtumishi
Au wew ni yule mwanakondoo wa mchungaji kmaro
Tatizo chama mbadala ndo hakipoKwa kweli chama hicho kimezeeka na inabidi tupate chama kingine mbadala kitakachoongoza nchi yetu
Itakuwa ni kijana wa kinana.Mtumish kuhamishw kituo cha kaz ni jambo la kawaid ambalo husaidia ufanis wa kaz kwa mtumishi
Au wew ni yule mwanakondoo wa mchungaji kmaro
Haya maswali ameulizwa mwenye mamlaka ya utezi wa wakuu wa wilaya ila maoni yangu "kuna wakuu wa wilaya wameondolewa na hawa lazima nafasi zao zijazwe. Wakati wa kuzijaza ni ama uteue wapya au uhamishe wengine kujaza nafazi zilizowazi kwa kuhamisha wengine wanaofaa kulingana na maoni ya anayeteua. Mfano ni yule DC wa Arusha aliyefanya vizuri maeneo yote aliyopelekwa na sasa kahamishiwa Tabora akaweke mambo sawa. Haya ni maoni yangu na yale maswala uliyouliza Kwa mamlaka ya uteuzi NATARAJIA mamlaka hiyo ITAKUJA KUYAJIBU."Hivi kama mamlaka ya uteuzi limegundua kuwa hao wakuu wa wilaya walifanya "madudu" kwenye vituo vyao vya awali, ni kwanini wasipigwe chini na kuachishwa kazi badala ya kuwahamisha vituo vyao vya kazi, ambapo mzigo wa kuwalipia hiyo inayoitwa "transfer allowance" tunaibeba sisi walipa Kodi wa nchi hii?
Basi wangeachwa mahali walipo ili kuepuka gharama za kuwahamisha !!Lkn kuwapiga chini na kuwa na wastaafu wengi kiasi hicho wanaolipwa hela nyingi ingegharimu hela nyingi zaidi
Tusubiri tuone no kufoka foka kama italeta matunda mazuri !! Tunasubiri !Mkuu wa Wilaya ndo jicho la Raisi kwenye Eneo husika. Ukiona sehemu kuna uhalifu na hakuna hatua zinazochukuliwa basi juwa DC huyo satoshi.
Sasa hatua za kuchukuliwa zinaweza kutofautiana kutokana na extent ya udhaifu. Wengine huishia kutenguliwa na wengine kuhamishwa kituo.
Kilichotokea kwa sasa..wengi wameondoka kwa kushindwa kusimamia fedha za miradi ikiwemo ujenzi wa madrasa.
Tutegemee mshtuko mwengine zaidi kwa ma DED sasa. Bi Mkubwa hakopeshi..ukishindwa ku deliver bas kichwa chako ni dalali yake...no kufokafoka lakini vitendo zaidi
Vyama vipo vingi sana wala haihitaji kusajili vipya , kinachokosekana ni watu madhubuti wa kuhamia kwenye hivyo vyama vilivyopo hata kama ni vidogo !
Wapo walioachwa, reshuffles na transfers ni zoezi la kawaida kuboresha utendajiBasi wangeachwa mahali walipo ili kuepuka gharama za kuwahamisha !!
Balaa zito mzee wa kaziKuweka kumbukumbu sawa kwa wanachotupiga mpaka kufikia kiwango alichoweka mkuu hapa, ni hivi, Posho za uhamisho ni posho ya usumbufu (disturbance allowance) na posho ya kujikimu (subsistence allowance) na posho ya safari (on transit) ikiwa safari inachukua zaidi ya masaa 6 njiani.
Posho ya kujikimu analipwa mtumishi anayehama pamoja na mwenza wake kiwango cha per diem ya siku 1 kwa siku 14, na watoto 4 (kama anao) hulipwa nusu ya perdiem kwa siku hizo 14. Kwa wilayani Per Diem ni Tsh. 200,000/= kwa siku 1.
Mfano ikiwa maDC wote ni wenye ndoa(bila watoto), fedha watayolipwa ni kama ifuatayo:
200,000×14×48×2= Tshs. 268,800,000/= (subsistence allowance)
Disturbance allowance - ni mshahara wa mwezi×miezi 12×10%
4,500,000×12×10%×48=Tshs. 259,200,000 Posho ya Usumbufu
Takribani Tshs. 528,000,000/= itakatika hapo,
Ukijumlisha na posho za watoto na safari njiani inafika hiyo Tshs. 720,000,00/=