Ni sababu zipi za msingi zilizosababisha Wakuu wa Wilaya wengi kiasi hiki kuhamishwa vituo vyao vya kazi?

Tshs.15,000,000 X 48 =720,000,000/=

NB: Zaidi ya 720,000,000/= Za uhamisho zinakwenda kulipwa,achana na za MaDC wapya.
Ohoooo mkuu I love it, ulivyotia nyama tena fillets kwenye uzi huu, hizi fedha zinawezesha wilaya zote za mkoa wa Tanga kufanya mabadiliko makubwa kwa wakazi wake wote, yaani wapate top class dispensaries, kilimo kirahisishwe kwa wakulima, vijana waondolewa kwenye betting houses na wafunguliwe kiwanda cha kusindika matunda hasa pale muheza na masoko yapo sana kwenye EU &USA, kilimo cha cocoa pale Maramba (ajira nyingi sana tunaweza kuzalisha pale, elewa wanaume magnet ya mwanamke mpe top class chocolates, sasa tunalima wenyewe cocoa na tunaomba under license kutoka Lindit kuzalisha chocolates!!)
 
Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi.

Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi?

Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya wakuu hao wa wilaya?

Kwa kuwa Mimi kama raia wa nchi hii, nina wajibu wa kuliuliza hili, Kwa kuwa najua uhamisho wowote, hususani wa hao vigogo, unaligharimu Taifa hili mabilioni ya pesa za uhamisho, ambazo tutakamuliwa Kwa Kodi na tozo Mimi na Wewe!

Hivi kama mamlaka ya uteuzi limegundua kuwa hao wakuu wa wilaya walifanya "madudu" kwenye vituo vyao vya awali, ni kwanini wasipigwe chini na kuachishwa kazi badala ya kuwahamisha vituo vyao vya kazi, ambapo mzigo wa kuwalipia hiyo inayoitwa "transfer allowance" tunaibeba sisi walipa Kodi wa nchi hii?

Hivi katika kipindi hiki ambacho nchi yetu inapitia kipindi kigumu mno, Cha upandaji wa gharama za maisha, hususani bei vya vyakula, ndiyo Serikali yetu, inatumia matumizi mabaya kiasi hicho Cha kuwalipia mabilioni ya pesa, wateule hao wa Rais?

Ndio maana tunaungana na hoja kuu ya Chama kikuu Cha upinzani nchini Cha Chadema, kuwa Taifa hili Kwa hivi Sasa linahitaji kuwa na Katiba mpya ambayo itampunguzia Kwa kiasi kikubwa madaraka makubwa mno aliyo nayo Rais wetu.

Ikumbukwe kuwa yeye Rais ndiye anayewateua wakuu wote wa wilaya 140 nchini na Wala huwezi muuliza, ni vigezo gani alivyotumia, katika uteuzi wake!

Pia ndiye anayewateua wakurugenzi wa wilaya, Kwa idadi hiyo hiyo ya 140

Pia ndiye anayewateua Mkuu wa Jeshi, IGP,Mkurugenzi wa Uchaguzi, Majaji na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za mashirika ya Umma

Haya madaraka makubwa mno ya ki-mungu-mtu ambayo Rais wa Taifa letu, amepewa na Katiba ya nchi yetu, ndiyo inayoliangamiza Taifa letu!
Mkuu wa Wilaya ndo jicho la Raisi kwenye Eneo husika. Ukiona sehemu kuna uhalifu na hakuna hatua zinazochukuliwa basi juwa DC huyo satoshi.
Sasa hatua za kuchukuliwa zinaweza kutofautiana kutokana na extent ya udhaifu. Wengine huishia kutenguliwa na wengine kuhamishwa kituo.
Kilichotokea kwa sasa..wengi wameondoka kwa kushindwa kusimamia fedha za miradi ikiwemo ujenzi wa madrasa.
Tutegemee mshtuko mwengine zaidi kwa ma DED sasa. Bi Mkubwa hakopeshi..ukishindwa ku deliver bas kichwa chako ni dalali yake...no kufokafoka lakini vitendo zaidi
 
Ohoooo mkuu I love it, ulivyotia nyama tena fillets kwenye uzi huu, hizi fedha zinawezesha wilaya zote za mkoa wa Tanga kufanya mabadiliko makubwa kwa wakazi wake wote, yaani wapate top class dispensaries, kilimo kirahisishwe kwa wakulima, vijana waondolewa kwenye betting houses na wafunguliwe kiwanda cha kusindika matunda hasa pale muheza na masoko yapo sana kwenye EU &USA, kilimo cha cocoa pale Maramba (ajira nyingi sana tunaweza kuzalisha pale, elewa wanaume magnet ya mwanamke mpe top class chocolates, sasa tunalima wenyewe cocoa na tunaomba under license kutoka Lindit kuzalisha chocolates!!)
Hakika mkuu,tuna matumizi mengi sana yasiyo na msingi
 
Bahati nzuri ndigu yetu, unetuletea actual figure, ambayo wananchi tutapaswa yukamuliwe, kulipa hizo "transfer allowances"😎
Inaniuma bloangu,basi tu,hasa nikiwaza kijijini kwangu kulivyokuwa na shida lukuki halafu mihela kibao inakwenda kulipwa kizembe kabisa tena bila kucheleweshwa
 
Hawa wangekuwa wanachaguliwa kwa njia chaguzi za kidemokrasia zilizo HURU na za HAKI, ujinga huu usingekuwa unafanyika. Na pia ingeleta discipline ya utendaji na uwajibikaji.
Tumelipima hilo kwa wabunge wetu kule bungeni tunaowachagua kwa kuwapigia kura?
 
Tshs.15,000,000 X 48 =720,000,000/=

NB: Zaidi ya 720,000,000/= Za uhamisho zinakwenda kulipwa,achana na za MaDC wapya.
Ohoo! hii ni gharama kwa kweli, vp kuhusu marupurupu(stahiki) kwa wale waliotemwa wanalipwa nini na nini'' in figure please''?
 
Tumelipima hilo kwa wabunge wetu kule bungeni tunaowachagua kwa kuwapigia kura?
Hawakuchaguliwa hao.

Wote hao ni wateule wa mungu wao aliyekwishakufa, John P. Magufuli kupitia kiinimacho cha kilichoitwa uchaguzi mwaka 2020!!
 
Mimi nazungumzia wabunge kwa vipindi vyote na sio wabunge wa sasa tu?
 
Vyovyote kwa kuwa A & B yote ni majibu..

Kwani mabunge na wabunge wote wa sasa na waliopita walitokana na kuwa governed na katiba ipi?

JIBU: Ni hii hii ya mwaka ya JMT ya mwaka 1977!!
 
Mh Rahabu wa Manyoni amehamishiwa wapi?

Namtafuta binafsi
 
Vyovyote kwa kuwa A & B yote ni majibu..

Kwani mabunge na wabunge wote wa sasa na waliopita walitokana na kuwa governed na katiba ipi?

JIBU: Ni hii hii ya mwaka ya JMT ya mwaka 1977!!
Sawa usiku mwema.
 
Hao ni viongozi wa ccm.
Katiba Mpya isipopatikana wataendelea kumtumikia Mwenyekiti wao
 
Mbowe siku hizi hazungumzii swala la Katiba.
ukweli ni kwamba mamlaka ya raisi yanapaswa kupunguzwa.
Katiba ya Tz inamfanya Raisi kuwa Mungu mtu. Ndio maana kuna machawa wengi. Ubunifu wa kimkakati wa maendeleo hakuna
Unamfuatiliaga kweli wewe au unatumia hearsay ku - draw conclusion?

Hata kama ni kweli, lakini kwenye teamwork yeyote huwa Kuna mgawanyo wa majukumu ikiwemo nani azungumze na kufanya nini

Hata hivyo pia si kweli kuwa hazungumzi kuhusu katiba mpya. Mtazame na msikilize hapa mpaka mwisho.
 
Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi.

Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi?

Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya wakuu hao wa wilaya?

Kwa kuwa Mimi kama raia wa nchi hii, nina wajibu wa kuliuliza hili, Kwa kuwa najua uhamisho wowote, hususani wa hao vigogo, unaligharimu Taifa hili mabilioni ya pesa za uhamisho, ambazo tutakamuliwa Kwa Kodi na tozo Mimi na Wewe!

Hivi kama mamlaka ya uteuzi limegundua kuwa hao wakuu wa wilaya walifanya "madudu" kwenye vituo vyao vya awali, ni kwanini wasipigwe chini na kuachishwa kazi badala ya kuwahamisha vituo vyao vya kazi, ambapo mzigo wa kuwalipia hiyo inayoitwa "transfer allowance" tunaibeba sisi walipa Kodi wa nchi hii?

Hivi katika kipindi hiki ambacho nchi yetu inapitia kipindi kigumu mno, Cha upandaji wa gharama za maisha, hususani bei vya vyakula, ndiyo Serikali yetu, inatumia matumizi mabaya kiasi hicho Cha kuwalipia mabilioni ya pesa, wateule hao wa Rais?

Ndio maana tunaungana na hoja kuu ya Chama kikuu Cha upinzani nchini Cha Chadema, kuwa Taifa hili Kwa hivi Sasa linahitaji kuwa na Katiba mpya ambayo itampunguzia Kwa kiasi kikubwa madaraka makubwa mno aliyo nayo Rais wetu.

Ikumbukwe kuwa yeye Rais ndiye anayewateua wakuu wote wa wilaya 140 nchini na Wala huwezi muuliza, ni vigezo gani alivyotumia, katika uteuzi wake!

Pia ndiye anayewateua wakurugenzi wa wilaya, Kwa idadi hiyo hiyo ya 140

Pia ndiye anayewateua Mkuu wa Jeshi, IGP,Mkurugenzi wa Uchaguzi, Majaji na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za mashirika ya Umma

Haya madaraka makubwa mno ya ki-mungu-mtu ambayo Rais wa Taifa letu, amepewa na Katiba ya nchi yetu, ndiyo inayoliangamiza Taifa letu!
Ndio pesa inatolewa hazina kuja mtaani.
Mnataka serikali ibane matumizi?
Mnajua athari zake.?
Wanaolipwa usafiri ni watanzania na wapya walioteuliwa wakiliowa mshahara ni Watanzania pia hivyo achwni pesa iingie kwenye mzunguko.

Matumizi machache mzunguko mdogo mtaani pia
 
Tshs.15,000,000 X 48 =720,000,000/=

NB: Zaidi ya 720,000,000/= Za uhamisho zinakwenda kulipwa,achana na za MaDC wapya.
Kuweka kumbukumbu sawa kwa wanachotupiga mpaka kufikia kiwango alichoweka mkuu hapa, ni hivi, Posho za uhamisho ni posho ya usumbufu (disturbance allowance) na posho ya kujikimu (subsistence allowance) na posho ya safari (on transit) ikiwa safari inachukua zaidi ya masaa 6 njiani.

Posho ya kujikimu analipwa mtumishi anayehama pamoja na mwenza wake kiwango cha per diem ya siku 1 kwa siku 14, na watoto 4 (kama anao) hulipwa nusu ya perdiem kwa siku hizo 14. Kwa wilayani Per Diem ni Tsh. 200,000/= kwa siku 1.

Mfano ikiwa maDC wote ni wenye ndoa(bila watoto), fedha watayolipwa ni kama ifuatayo:

200,000×14×48×2= Tshs. 268,800,000/= (subsistence allowance)

Disturbance allowance - ni mshahara wa mwezi×miezi 12×10%
4,500,000×12×10%×48=Tshs. 259,200,000 Posho ya Usumbufu
Takribani Tshs. 528,000,000/= itakatika hapo,

Ukijumlisha na posho za watoto na safari njiani inafika hiyo Tshs. 720,000,00/=
 
Attachments

  • Screenshot_2023-01-28-01-37-28-288_com.google.android.apps.docs.jpg
    Screenshot_2023-01-28-01-37-28-288_com.google.android.apps.docs.jpg
    121.4 KB · Views: 6
Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi.

Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi?

Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya wakuu hao wa wilaya?

Kwa kuwa Mimi kama raia wa nchi hii, nina wajibu wa kuliuliza hili, Kwa kuwa najua uhamisho wowote, hususani wa hao vigogo, unaligharimu Taifa hili mabilioni ya pesa za uhamisho, ambazo tutakamuliwa Kwa Kodi na tozo Mimi na Wewe!

Hivi kama mamlaka ya uteuzi limegundua kuwa hao wakuu wa wilaya walifanya "madudu" kwenye vituo vyao vya awali, ni kwanini wasipigwe chini na kuachishwa kazi badala ya kuwahamisha vituo vyao vya kazi, ambapo mzigo wa kuwalipia hiyo inayoitwa "transfer allowance" tunaibeba sisi walipa Kodi wa nchi hii?

Hivi katika kipindi hiki ambacho nchi yetu inapitia kipindi kigumu mno, Cha upandaji wa gharama za maisha, hususani bei vya vyakula, ndiyo Serikali yetu, inatumia matumizi mabaya kiasi hicho Cha kuwalipia mabilioni ya pesa, wateule hao wa Rais?

Ndio maana tunaungana na hoja kuu ya Chama kikuu Cha upinzani nchini Cha Chadema, kuwa Taifa hili Kwa hivi Sasa linahitaji kuwa na Katiba mpya ambayo itampunguzia Kwa kiasi kikubwa madaraka makubwa mno aliyo nayo Rais wetu.

Ikumbukwe kuwa yeye Rais ndiye anayewateua wakuu wote wa wilaya 140 nchini na Wala huwezi muuliza, ni vigezo gani alivyotumia, katika uteuzi wake!

Pia ndiye anayewateua wakurugenzi wa wilaya, Kwa idadi hiyo hiyo ya 140

Pia ndiye anayewateua Mkuu wa Jeshi, IGP,Mkurugenzi wa Uchaguzi, Majaji na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za mashirika ya Umma

Haya madaraka makubwa mno ya ki-mungu-mtu ambayo Rais wa Taifa letu, amepewa na Katiba ya nchi yetu, ndiyo inayoliangamiza Taifa letu!
Mama naona anaooteza muda kufanya vitu visivyokuwa na athari yoyote kwa watanzania halafu vile vgenye athari ndo anavipotezea shame on her
 
Back
Top Bottom