Alikuwa na matatizo ya akili. Ni vile tu watanzania wengi ni wajinga walimuona mkombozi wao.
Kuna nadharia inasema" ukiona kiongozi alivyo ni matokeo ya jamii yake"
Kama Taifa tuwekeze sana kwenye Elimu. Itasaidia kuepukana na matatizo yasiyo ya lazima.
Bahati mbaya sana hata waliosoma hawana exposure, mtu kasoma bado anaamini mganga wa kienyeji na maombi sijui ya nani huko. Tena kwa mambo ya kutumia akili. Matokeo yake wengi wanaishia kuwa MACHAWA. Unategemea taifa la aina gani hapo?
"..Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..." maandiko yanasema.
Tupo hapa sababu ya ujinga wa watanzania. Tungijikita kuondoa ujinga huko kwenye nyumba zaibada tungeishia kumshukru Mungu. Badala ya kuliombea Taifa kwa njaa.