Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

Binafsi sikuwa mfuasi wa baadhi mipango ya mwendazake, lakini Magufuli alihusika vilivyo kutokana na sera zake na ujenzi wa kiwanda cha Sukari Azam, Bagamoyo Sugar
Alitoa pori bila kuombwa kwa kampuni hiyo ianzishe shamba na kujenga kiwanda cha sukari mkoani Pwani.
Kiwanda hiki kimeanza uzalishaji na bidhaa tayari zipo sokoni.
View attachment 3272335

Magufuli pia Alitoa pori kwa NSSF mkoani Morogoro nao wajenge kiwanda cha sukari eneo la Mkulazi, kata ya Mkulazi, Tarafa ya Ngerengere.
Taasisi hiyo ya uma ina shamba kubwa mahali hapo na kiwanda cha shamba hilo Kipo Mbigiri mkoani Morogoro.
Kiwanda hiki nacho kimeanza uzalishaji
View attachment 3272339View attachment 3272341
Hao watu wapuuzi sana pamoja na mtoa mada! Waulize mama yao Samia kajenga kiwanda gani?
Magufuli alionesha njia na aliiuwa na maelengo ya muda mrefu sana na ndo maana alianza na issue ya umeme ambayo awamu hii haijui nini ifanye mara inunue umeme kutoka Ethiopia!
 
UCD njoo huku utoe neno
Viwanda vilivyofunguliwa ni vingi tu hasa mkoa wa Pwani. Kiwanda cha sukari za Azam, viwanda vya wachina vya tiles and hardwares pale Chalinze, Mkuranga, Rufiji just to mention few.
 
Well am not so good in politics but there's this hear say,....

Serikali ni watu, na watu ndio sisi.

Tukitegemea serikali ifanyie mambo wananchi wake, ni kuwa kila mmoja wetu anawajibika kuhakikisha kunakuwa na huduma bora kwa jamii, maendeleo ya uchumi na ustawi wa jamii.
Walioko madarakani wenyewe hawaamini hivi. Wanaamini they are everything
 
KUNA WAKATI UNAWEZA TUKANA NJIA NZIMA!
TUENDELEE NA AKILI ZETU..
NI AIBU KUENDELEA KUPAMBANA NA MAREHEMU, HAKIKA HAYA NDO ELIMU YENU ILIKOTUFIKISHA
 
Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili.

Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja .

Huu ulikuwa utoto.
Yaani wewe KIMA ulitaka Magufuli ajenge Kiwanda!!!? Wewe ni nyani jike
 
Kutokana na Sera za nchi naona ilimbidi aanze kuandaa mazingira ya kupokea viwanda hivyo kulingana na Huo Mradi ulihitaji takriban muda WA miaka 15 -25 kupata matokeo kamilifu.

Hii nchi pamoja inajitahidi kwa Kiasi chake ila ukipewa uiweke kwenye mstari utakuta kuna mauozo uozo mengi.
Kwa nini udanganye una viwanda 5000 wakati huna hata kiwanja kilichosafiswa kuweka walau nguzo moja. Na walioshabikia utapeli huo nao ni vichaa tu. Ukisema ukweli kwamba unafanya mchakato kuelekea kwenye viwanda lakini hamjajenga nani atakulaumu.
 
Back
Top Bottom