Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Hakika jamaa alikuwa muongo muongo sanaKuahidi kitu usicho weza ni moja za biadhaa za uwongo
Uwongo ndio unaponza taifaHakika jamaa alikuwa muongo muongo sana
Na Sera ya kuuwa watu na kupiga risasi Lissu ilikuwa ya Chama ?Alijikita zaidi ktk miundbinu then sera ya viwanda hakika yake bali ilani ya chama
Kutokana na Sera za nchi naona ilimbidi aanze kuandaa mazingira ya kupokea viwanda hivyo kulingana na Huo Mradi ulihitaji takriban muda WA miaka 15 -25 kupata matokeo kamilifu.
Hii nchi pamoja inajitahidi kwa Kiasi chake ila ukipewa uiweke kwenye mstari utakuta kuna mauozo uozo mengi.
Ikiwa Kuna ushiriki , mpango huo ulikuwa kulinda regime yake kwani binafsi namuona YEYE BINAFSI (siyo kama raisi) kama aliyependa kusikilizwa zaidi ya kukosolewa (alipenda matokeo kulikoni mchakato)Na Sera ya kuuwa watu na kupiga risasi Lissu ilikuwa ya Chama ?
Hata ujenzi wa nyumba una steps zake. Huanzi na paa au ukuta!Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili.
Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja .
Huu ulikuwa utoto.
Magufuli yuko very much over ratedSiasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili.
Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja .
Huu ulikuwa utoto.
HakikaAlikuwa na matatizo ya akili. Ni vile tu watanzania wengi ni wajinga walimuona mkombozi wao.
Kuna nadharia inasema" ukiona kiongozi alivyo ni matokeo ya jamii yake"
Kama Taifa tuwekeze sana kwenye Elimu. Itasaidia kuepukana na matatizo yasiyo ya lazima.
Bahati mbaya sana hata waliosoma hawana exposure, mtu kasoma bado anaamini mganga wa kienyeji na maombi sijui ya nani huko. Tena kwa mambo ya kutumia akili. Matokeo yake wengi wanaishia kuwa MACHAWA. Unategemea taifa la aina gani hapo?
"..Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..." maandiko yanasema.
Tupo hapa sababu ya ujinga wa watanzania. Tungijikita kuondoa ujinga huko kwenye nyumba zaibada tungeishia kumshukru Mungu. Badala ya kuliombea Taifa kwa njaa.
HakikaMagufuli yuko very much over rated
Fact .Tuliofanya nae kazi Jpm alikuwa na matamshi mawili yaani atakachosema mbele ya camera ni tofauti na behind the scene.
Anyway alale pema peponi ila angezidi kuwepo hii nchi ingestuck somewhere bila usaidizi
Hiyo Sera imeandikwa wapi 🤔Na Sera ya kuuwa watu na kupiga risasi Lissu ilikuwa ya Chama ?