Sawa Bibi but this thread is above of ur understanding levelWell am not so good in politics but there's this hear say,....
Serikali ni watu, na watu ndio sisi.
Tukitegemea serikali ifanyie mambo wananchi wake, ni kuwa kila mmoja wetu anawajibika kuhakikisha kunakuwa na huduma bora kwa jamii, maendeleo ya uchumi na ustawi wa jamii.
Yeye hakujua hilo??Hata ujenzi wa nyumba una steps zake. Huanzi na paa au ukuta!
Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili.
Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja .
Huu ulikuwa utoto.
Wajibu wa serikali siyo kujenga viwanda. Ni mtu mjinga na asiye na uelewa wa mambo ndiye anaweza kuleta hoja kama hii sasa hivi.Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja .
Alijua. Ndiyo maana alianza na JNHPP. Viwanda vinahitaji umeme mwingi na wa kuaminika!Yeye hakujua hilo??
Sawa Bibi but this thread is above of ur understanding level
Welcome MMU -Platform
Kwani kiwanda kinajengwa na serikali, au sekta binafsi? Na kama ni sekta binafsi, unataka kuniambia kwenye miaka yake 6 ya kutawala, hakina viwanda vilivyojengwa nchini na sekta binafsi?Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili.
Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja .
Huu ulikuwa utoto.
Ulitaka ajenhe yeye, Serikali au sekta binafsi?Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili.
Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja .
Huu ulikuwa utoto.