Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

Hao watu wapuuzi sana pamoja na mtoa mada! Waulize mama yao Samia kajenga kiwanda gani?
Magufuli alionesha njia na aliiuwa na maelengo ya muda mrefu sana na ndo maana alianza na issue ya umeme ambayo awamu hii haijui nini ifanye mara inunue umeme kutoka Ethiopia!
 
UCD njoo huku utoe neno
Viwanda vilivyofunguliwa ni vingi tu hasa mkoa wa Pwani. Kiwanda cha sukari za Azam, viwanda vya wachina vya tiles and hardwares pale Chalinze, Mkuranga, Rufiji just to mention few.
 
Walioko madarakani wenyewe hawaamini hivi. Wanaamini they are everything
 
KUNA WAKATI UNAWEZA TUKANA NJIA NZIMA!
TUENDELEE NA AKILI ZETU..
NI AIBU KUENDELEA KUPAMBANA NA MAREHEMU, HAKIKA HAYA NDO ELIMU YENU ILIKOTUFIKISHA
 
Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili.

Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja .

Huu ulikuwa utoto.
Yaani wewe KIMA ulitaka Magufuli ajenge Kiwanda!!!? Wewe ni nyani jike
 
Kwa nini udanganye una viwanda 5000 wakati huna hata kiwanja kilichosafiswa kuweka walau nguzo moja. Na walioshabikia utapeli huo nao ni vichaa tu. Ukisema ukweli kwamba unafanya mchakato kuelekea kwenye viwanda lakini hamjajenga nani atakulaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…