Ni sababu zipi zinawafanya Lissu na Lema kuendelea kuishi ng'ambo?

Mama alishasema kwamba yeye na Magufuli ni kitu kimoja, hii inatisha sana!
 
Hakuna apendae shida, waacheni wale bata...
 
Kurudi bongo si kitu cha kukurupuka kama unavyofikiria, kurudi watarudi lakini kuna mambo mengi ya kujiridhisha na kuamini bila ya shaka usalama wao utazingatiwa. Ni muda mfupi sana toka raisi mpya aingie lakini kumbuka watu ni walewale na suala lenyewe halijashughulikiwa kabisa. Anawezaje kurudi kama waliowapiga risasi hawajakamatwa wala kufungwa jela? Kwani uchunguzi dhidi ya madai ya Lisu na waliompiga risasi lisu ulishafanyika? Au huyo raisi ulienae ulishawahi kusikia akiwahakikishia kuwa sasa watakuwa Salama? Au ulishasikia akiruhusu uchunhuzi huru au hata wa polisi kuchunguza shambulio la Lisu? Kama hujui tulia usikurupuke, bado viwango vya usalama wa hao watu wakirudi hapa havijasoma, unahitajila muda wa kutosha kujiridhisha kwa hilo sio kukurupuka kwa ajili ya hotuba moja au neno moja la mtu wanafiki ni wengi sana.
 
Ni sababu zilezile Ambazo dunia ya wastaarabuhaijui.
Nani alimlumkata mapanga Alphonso mawazo!
Nani alimkteka ben sana e,gwanda na zile maiti kwenye vieoba.
Nani alimshambulia mbunge lisu tena akiwabungeni? Mpaka leo hakuna taarifa yeyote zaidi yah kumhukumu lisu
 
Unatakiwa kujenga hoja kama mtu mwenye uelewa badala ya kuwa mpiga porojo mtupu.

Ni kweli aliyeasisi siasa za kishetani za kuua, kuteka na kuwapoteza wanaomkosoa na wanaoikosoa serikali yake, ameondoka, lakini ikumbukwe kuwa hakuwa anateka na kuua kwa mikono yake. Je, mikono ya shetani nayo imeondoka?

Rais Samia, ni kweli kwa matendo yake, na maneno yake, hataki kukumbatia ule ushetani wa marehemu, lakini kwa ujumla amekuwa 'si moto si baridi'. Kwa kiasi kikubwa ameendelea kuwakumbatia wauaji na watekaji. Haja-denounce siasa za mtangulizi wake. Tena amediriki kutamka kuwa, yeye ni kama yule muuaji.

Mfumo ule wa wauaji uliokuwa ukisimamiwa na Bashite, bado upo. Bashite, licha ya kujulikana kuwa ndiye aliyekuwa anasimamia kikosi cha wauaji na watekaji, yupo tele mtaani badala ya kuwa gerezani.

Kwenye mazingira hayo, nani anaweza kumhakikisha usalama Lisu na Lema?
 
Kwa kweli Bunge linaongozwa na shetani.

Wote tu watenda dhamni lalini matendo yale ya Ndugai yalizidi utenda dhambi. Nadhani yeye ni sehemu ya utawala wa shetani.
 
Amsterdam anawanogesha sana wale jamaa
 
Mungu ni Mkuu sana, unaejaribu kumuua hafi unaishia kufa wewe....
Tunaposema uweza na mamlaka ya Mungu, na hekima yake, si sawa na ya mwanadamu, wala Mungu hakawii kujibu sala za watu wake, bali hujibu kwa wakati wakr, hii ndiyo maana yake.

Fikiria wale waliojiegemeza kwake, wakaishi kwa uovu wa ajabu, Mungu amempiga mchungaji wao, na mbuzi wote wametawanyika.
 
sijawahi na sina mpango huo
Siyo huna mpango, bali huna hata uwezo wa kufika huko. Umeshindwa kutembelea hata mbuga ya wanyama Serengeti, ndiyo uende Canada!!
 
Onyesha uzi uliowaunga mkono wakati walipoondoka kipindi cha dhalimu. Vinginevyo kaa kwa kutulia.
 
Amen...
 
Yamepita wapi wakati aliyekuwa akibambikia Watanzania kesi FAKE mama anahofia kumuwajibisha? Wakati hadi leo hakuna uchunguzi kuhuzu shambulizi la Lissu.
Kwa sasa hayo yote yalishapita tupo zama mpya, nini kinawaweka huko?
 
They have never had a genuine reason to flee the country. Ask yourself whete is Tundu's driver? What are they hiding by keeping him in Denmark?
 
Kujitwisha? Unasemaje Lsu kupigwa risasi? Mjomba wa Magufuli kusema akija safari hii tunatumia sindano kumuua? Wana genuine reason kuhofia maisha yao. No politics is worthy their life
Lakini Mama si yupo poa na kila siku mnamsifia? Sasa ninyi na wao wana hofu gani zaidi ya jobless?
 
Sababu inayowafanya wasirudi ni kuwa wamenogewa na vya kunyonga! Ukianza kula vya kunyonga vya kuchinja huviwezi tena!!
 
Yamepita wapi wakati aliyekuwa akibambikia Watanzania kesi FAKE mama anahofia kumuwajibisha? Wakati hadi leo hakuna uchunguzi kuhuzu shambulizi la Lissu.
Zama zimebadilika

hivyo ni visingizio visivyo na mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…