Ni sababu zipi zinawafanya Lissu na Lema kuendelea kuishi ng'ambo?

Hata kukimbia na kujipa hadhi ya ukimbizi hapakuwa na sababu bali ni kujipendekeza tu kwa Mabeberu
 
Kulazimisha ukandamizaji wa haki na ukatili wa wazi, ETI vipendwe na kukubalika kama MBINU ya kuleta maendeleo ni ushetani kwa viwango vyovyote vile. Hivi sasa wapo miongoni mwetu wanaoendelea kuyashabikia maujinga hayo, hata baada ya Mungu mwema kutuondolea aliekuwa wakala mkuu.
Wakati sasa umefika kutambua kuwa bila taifa letu kuchukua hatua za wazi za kujitakasa kwa kuliweka wazi tatizo hili na kuwasaka na kuwachukulia hatua mawakala wadogo zake, takataka hizo zitalifanya taifa hili kufubaa.
JAPO awamu ya sita yaonekana kuwa imeanza vizuri na pia inayo dhamira ya kuelekea huko japo kasi ya kuuondoa huo ushetani uliokuwa unajichimbia, yahitaji kuongeza mwendo katika kujenga mifumo imara ZAIDI ya uongozi na utawalaBORA . Hao mawakala wadogo ambao nguzo yao kuu ni kupotosha umma, hawategemewi kukubali kushindwa kirahisi.
AMEN
 
Kujitwisha? Unasemaje Lsu kupigwa risasi? Mjomba wa Magufuli kusema akija safari hii tunatumia sindano kumuua? Wana genuine reason kuhofia maisha yao. No politics is worthy their life
ALiyetuma watu wampige risasi Lissu yeye sasahivi kashaoza kitambo sn
 
Wewe ngugu endelea na shughhuli zako. Wako waTZ chungu nzima waishio ughaibuni na hakuna sheria ianayokataza hilo. Kwani inakunyima nini Lissu na Lema wakiishi huko? Au walikuwa wanakupa posho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…