Ni sababu zipi zinazopelekea wanaume kununua dada poa?

Ni sababu zipi zinazopelekea wanaume kununua dada poa?

H
Wewe sio mwanaume
Huwezi jua sababu


Sababu kubwa ya kununua dada poa ni kwamba hawana mambo mengi, mkishagongana kila mmoja anashika hamsini zake, no strings attached.
Huyu haijui Nyegeziiiiiii
 
No stress kabisa kikubwa kujali afya yako na wale madada ni watetezi wa wengi wabarikiwe sana laasivyo ubakaji ungeongezeka kuzidi India pamoja na ushoga
Ukitoka kunyooosha kamoko unarudi maghettoni umeweka mikono mfukoni na miluzi mingii, mpaka mama mwenye nyumba anashangaa mwaka mzima kijana hujawahi hata pata mgeni wa kike nyumbani.
 
Wengi wanaonunua madadapoa wanaukimwi so hawana cha kupoteza wanapita popote tu.

Mwenye utimamu wa akili hanunui malaya kwa kujua. Scenarios nyingi huchagizwa na pombe.
Kufanya na dadapoa inaweza kuwa salama kuliko hii ya mademu wa mtaani tunaopita nao pekupeku..Dadapoa ndomu first
 
Ukitoka kunyooosha kamoko unarudi maghettoni umeweka mikono mfukoni na miluzi mingii, mpaka mama mwenye nyumba anashangaa mwaka mzima kijana hujawahi hata pata mgeni wa kike nyumbani.
😀😀😀 Wanashangaa tu hawakuelewi elewi.
 
Vyakula alafu ukizingatia vipochi manyoya vimekuwa adimu unapata baada ya miezi kibao kupita....alafu kidume kama mm sipendi kusumbua akili kwenye mambo madogomadogo kama hayo...
 
Mkuu,

Naomba nikupe elimu ya kitaa kidogo, siyo kwamba kila anayejiuza ni kahaba mzoefu
kuna wengine wanajiuza kwasababu ya shida tu. Labda anadaiwa hela ya kikoba au hajatuma pesa ya mchezo (upatu) siku 3 au zaidi na kijumbe anasumbua.

Kwanini tunawapenda? Tunawapenda kwasababu wako (straight fowards) Hawana story nyingi wala mambo mengi, we Unauliza ubao Unasomekaje siku hiyo... ukiafiki.... Fresh!

Tena siku hizi kuna bei elekezi kama za sukari!

Sasa ukitaka stress gandana na mtu usawa huu, Hizi invoice Mezani kwako hazikosekani,

Saloon/kusuka
Mama anaumwa nyumbani,
Bando la simu/week/mwezi
Paka/ Mbwa wangu kapotea/anaumwa
Kodi.../ na Mengineyo

Hakuna rangi hutaacha kuona...
 
Ukitoka kunyooosha kamoko unarudi maghettoni umeweka mikono mfukoni na miluzi mingii, mpaka mama mwenye nyumba anashangaa mwaka mzima kijana hujawahi hata pata mgeni wa kike nyumbani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanawake almost wote ni MADADA POA!tofauti ni kuwa kundi moja liko direct na lingne linauza indirect!NB:wanaojiuza indirect ambao ndio madem zetu ndio hatari kulko maana vizinga vyao my friend ni dhahama#obheja
 
Wengi wanaonunua madadapoa wanaukimwi so hawana cha kupoteza wanapita popote tu.

Mwenye utimamu wa akili hanunui malaya kwa kujua. Scenarios nyingi huchagizwa na pombe.
Hamna watu safe kama machangudoa,condom mbele hawaendekezi nyege,wako makini na kazi yao.
 
Heshima kwenu wadau

Hivi ni sababu ipi kuu ambayo inasababisha wanaume kununua dada poa ?

Je ni kukwepa mizinga ya mara kwa mara toka kwa mpenzi wa kudumu, kukata tamaa ya mahusiano ya kudumu au kuna sababu zingine zinazopelekea hali hiyo ?

Karibuni tuweze kupeana uzoefu

Kikubwa ya yote tunatumia dada poa kukwepa Ukimwiiii
 
Back
Top Bottom