Ni sababu zipi zinazopelekea wanaume kununua dada poa?

Ni sababu zipi zinazopelekea wanaume kununua dada poa?

Ngono, kwa kahaba hakuna mapenzi
Wapo wanao toa huduma vizur, hasa wale ambao hutegemei kama atakua anajiuza, unashangaa unaambiwa una sh. Ngap?

Yote hayo ni kwamba wanaume wengi tunapokua na sex desire, kwa vile tuna mioyo ya udhubutu, ndio tunajikuta tunajiingiza kwenye hayo mambo.
 
Huduma si mapenzi
I hope Suriya hujawahi kununua you seem mtu unayejielewa sana
 
sawa Suriya nilifikiri bado wapo angalau wachache wa mapendo.... Dunia iishe tu hakuna tena maana.
Wenye Yesu wapo, kama na wew umempokea Yesu moyoni mwako, basi waweza kupenda.
 
Tamaa tu kutaka kujaribu ladha tofauti
Wengi ni watu wazima wana wake na watoto
Wengine ni waheshimiwa, refer kauli ya DC wa makao makuu
 
Wanawake almost wote ni MADADA POA!tofauti ni kuwa kundi moja liko direct na lingne linauza indirect!NB:wanaojiuza indirect ambao ndio madem zetu ndio hatari kulko maana vizinga vyao my friend ni dhahama#obheja
Huuu ni ukweli kabisa naunga hoja ... Maaana mkimaliza kusex kinachofata ni kuombwa hela , sasa hapo kuna unafuu gani
 
Huuu ni ukweli kabisa naunga hoja ... Maaana mkimaliza kusex kinachofata ni kuombwa hela , sasa hapo kuna unafuu gani
mpaka umkule demu unapata umespend kama laki!sasa dada poa mbao tu unakung'uta kibuyu hadi tosha na hakuna cha nimechoka hahahah#obheja
 
Back
Top Bottom