Ungekuwa mwanaume ungefahamu sababu!?Heshima kwenu wadau
Hivi ni sababu ipi kuu ambayo inasababisha wanaume kununua dada poa?
Je, ni kukwepa mizinga ya mara kwa mara toka kwa mpenzi wa kudumu, kukata tamaa ya mahusiano ya kudumu au kuna sababu zingine zinazopelekea hali hiyo?
Karibuni tuweze kupeana uzoefu
Uko sahihi aslimia zote niliwahi kuambiwa wiki hii siyo zam yako wakati siku haipiti bila hata buku kunitoka kwa ajili yakeTumia akili ya kawaida..ukiwa na hela unapata papuchi anytime you want it.Lakini unaweza kuwa na demu na akakupa papuchi kwa kukupangia
Ebu niache wew[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dah![emoji1][emoji1][emoji1]Nini kilikukuta boss?
Niliwaza mbali mno[emoji23]Ebu niache wew[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dah![emoji1][emoji1][emoji1]
Any way kuna day tulikua tumetoka site saa2
Tulikua na jamaa mmja mfanya Kaz mwenzangu tukakubaliana twende home nkampe safety boot zake zilichanika
wakat tunarudi tukapita maeneo hayo wanapopatikana,jamaa yangu alikua anafahamiana na mmja wao ,huyo dada alikua na wenzie wa tatu tukawa tunashuka pamoja room
Wao wanaongea wanacheka,kipind me bado mgeni kidogo hapa ,nkawa naona aibu sababu wale wadada wanajulikana
Kufika room wakawa wamejimwaga kitandan na perfume zao ,kila mmja yakwake ananukia kivyake,ukizimix hapo duh..
Tulikua tunaangalia betrayal tamthilia moja ya azam tv ,
Foreman akanipgia kua yupo na gari ya......kwahyo hata shuka hapa.....kwahyo twend tukapokee material ,kuinuka yakagoma
Ikabidi twende tukawaacha
Tulipo Rudi wakaaga wanasepa
Kuja kuangalia 30000 haipo
Kuwauliza wakagoma
Acha Ile kesho yake Maza haus kuniangalia kijicho
.
Ulijua nin[emoji1][emoji1]
Ila nahisi kama umenidanganya hahaaEbu niache wew[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dah![emoji1][emoji1][emoji1]
Any way kuna day tulikua tumetoka site saa2
Tulikua na jamaa mmja mfanya Kaz mwenzangu tukakubaliana twende home nkampe safety boot zake zilichanika
wakat tunarudi tukapita maeneo hayo wanapopatikana,jamaa yangu alikua anafahamiana na mmja wao ,huyo dada alikua na wenzie wa tatu tukawa tunashuka pamoja room
Wao wanaongea wanacheka,kipind me bado mgeni kidogo hapa ,nkawa naona aibu sababu wale wadada wanajulikana
Kufika room wakawa wamejimwaga kitandan na perfume zao ,kila mmja yakwake ananukia kivyake,ukizimix hapo duh..
Tulikua tunaangalia betrayal tamthilia moja ya azam tv ,
Foreman akanipgia kua yupo na gari ya......kwahyo hata shuka hapa.....kwahyo twend tukapokee material ,kuinuka yakagoma
Ikabidi twende tukawaacha
Tulipo Rudi wakaaga wanasepa
Kuja kuangalia 30000 haipo
Kuwauliza wakagoma
Acha Ile kesho yake Maza haus kuniangalia kijicho
.
Ulijua nin[emoji1][emoji1]
Mungu akuongozeSijawah kununua dada poa,sijawah kula tigo....haya Mambo naomba Mungu isinitokee
[emoji1][emoji1][emoji1] unajua kabisa mim sio muongoo Ila wewe zaidiii[emoji1][emoji1]Ila nahisi kama umenidanganya hahaa
Nlivoona quote tu mwili umetetemekaaa[emoji1][emoji1][emoji1]Niliwaza mbali mno[emoji23]
Had utimize ile ahadi yako ndio nitakuamini[emoji4][emoji1][emoji1][emoji1] unajua kabisa mim sio muongoo Ila wewe zaidiii[emoji1][emoji1]
[emoji23] acha hizo weweNlivoona quote tu mwili umetetemekaaa[emoji1][emoji1][emoji1]
Nakuapia,nlitamani Kama uzi ufutike,[emoji23] acha hizo wewe
Ah sawa,ikiwa vema Basi wewe uwe hukuHad utimize ile ahadi yako ndio nitakuamini[emoji4]
Una yako wewe sio bure[emoji3]Nakuapia,nlitamani Kama uzi ufutike,
Si unakuja kunichukuaAh sawa,ikiwa vema Basi wewe uwe huku
Nnayangu kitambo tuUna yako wewe sio bure[emoji3]
Nyeeeeeeeh eheeee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Si unakuja kunichukua
HahaaNnayangu kitambo tu