Ni sababu zipi zinazopelekea wanaume kununua dada poa?

Ni sababu zipi zinazopelekea wanaume kununua dada poa?

hata uyo dem wako anajiuza, indirectly
comred wa next door akipanda dau kidogo tu, dem wako anatoa papa fresh tu
uyo dem wako (unaesema hajiuzi) ana account tinder na tagged uko
Angalia usimuangushe mchizi na presha asee.
 
Heshima kwenu wadau

Hivi ni sababu ipi kuu ambayo inasababisha wanaume kununua dada poa?

Je ni kukwepa mizinga ya mara kwa mara toka kwa mpenzi wa kudumu, kukata tamaa ya mahusiano ya kudumu au kuna sababu zingine zinazopelekea hali hiyo?

Karibuni tuweze kupeana uzoefu
Wananuka sana hao
 
Inawezekana demu wa mshkaji mchana lakini usiku anauza uchi,
Na siamini kama wauza uchi hawana maboyfriend ama wachumba
Kwahiyo mkuu usiamini kirahisi,hata alie mtaani kama ni kukuua anakuua taratibu kabisa
Niliwahi kuwa na mahusiano na dame mchan ana njano usiku ana nyeupe .... Na nilikuwa najua kabisa ... Ila nikimuhitaji fresh napiga kimemba bila kulipa ... Lbd km hana kitu anakwambia unamtoa hata 20,000/- ... Mademu wanaojiuza huku wana maboyfreand ni wengi sana
 
gharama ya papuchi ( dada poa) ni 10,000/
demu wako mtaani ni 20,000/ ( na vizinga vya kila baada ya siku mbili mfno)
unategemea utaenda wapi??
 
Wengi wanaonunua madadapoa wanaukimwi so hawana cha kupoteza wanapita popote tu.

Mwenye utimamu wa akili hanunui malaya kwa kujua. Scenarios nyingi huchagizwa na pombe.
Rudi shule wewe hapa siyo umri wako nimekuwa nikiwala hao dada poa zaidi ya miaka 22 sasa na sijaugua hata mafua
 
Moja inapoteza ham ya kula/wazionaje mboga saba!?
Heshima kwenu wadau

Hivi ni sababu ipi kuu ambayo inasababisha wanaume kununua dada poa?

Je, ni kukwepa mizinga ya mara kwa mara toka kwa mpenzi wa kudumu, kukata tamaa ya mahusiano ya kudumu au kuna sababu zingine zinazopelekea hali hiyo?

Karibuni tuweze kupeana uzoefu
 
Heshima kwenu wadau

Hivi ni sababu ipi kuu ambayo inasababisha wanaume kununua dada poa?

Je, ni kukwepa mizinga ya mara kwa mara toka kwa mpenzi wa kudumu, kukata tamaa ya mahusiano ya kudumu au kuna sababu zingine zinazopelekea hali hiyo?

Karibuni tuweze kupeana uzoefu
Ni Sababu zipi zinazofanya mtu Kunywa maji.. Maana Dizaini ya swali lako ndio hilo
 
Madada poa siku hizi wako kila mahali, iwe ni majirani, wafanyakazi wenzetu, wanafunzi na sehemu nyingine. Ni kama wanywa pombe tu , wengine wanajificha na wengine wameamua kunywa wazi. Dada poa hakuna kutongozana wala kugandana kama luba. Mmakubaliana bei tu mambo yanaisha. Hao wengine unatumia nguvu nyingi kutongoza na bado K unauziwa. Tena hao wao ndio kuna hasara kubwa.
 
Back
Top Bottom