Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

Mkuu ndio wanaishi hivi? Hawa sio Tiktokers kweli hawa?
Ndo maisha yao. Teha hapo ni afadhali kimeiva. Ila kwa uchunguzi wangu hii jamii ni wachache sana maana watoto wanakufa kwa pneumonia na wanawake wengi wanapata matatizo ya uzazi. Pia wanatabia za kuoana mtu na dada yake so wanakuwa na kizazi weak sana. Pia wanatatizo kubwa sana la chakula mpaka kuna muda wanaishi kwa kula ubuyu tu
 
Wanaishi kimila. Wamekataa usasa.

Mtindo wao wa kuishi haudhuru jamii zinazowazunguka, ungekuwa unadhuru tungeshajua.

Pia huo mtindo wa maisha hauwadhuru wao, inasemekana wanaishi hivi kwa zaidi ya miaka 50,000. Ungekuwa unawadhuru wangeshatoweka.

Ni sawa.
 
Namna wanavyokula ni lahisi kuambukizana magonjwa ikitokea mmoja wao kaugua.Tungekuwa na serikali inayojitambua ingekuwa imekomesha hizo Mila za kipuuzi.Hapo hakuna Cha kuenzi Mila ni upuuzi tu.
 
Watu wengi huwa wanaamini porini hakuna magonjwa kama mjini!
 
Ndo maisha yao. Teha hapo ni afadhali kimeiva. Ila kwa uchunguzi wangu hii jamii ni wachache sana maana watoto wanakufa kwa pneumonia na wanawake wengi wanapata matatizo ya uzazi. Pia wanatabia za kuoana mtu na dada yake so wanakuwa na kizazi weak sana. Pia wanatatizo kubwa sana la chakula mpaka kuna muda wanaishi kwa kula ubuyu tu
Duuuh!! 🙄
 
Back
Top Bottom