Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

Unaweza kuruhusu mtoto wako aolewe au aoe huko na aishi mfumo huo wa maisha?
Mtoto wangu hawezi kuoa au Kuolewa huko kwa sababu mifumo ya maisha niliyomlea ni tofauti na Mifumo wanayoishi...
Kuna kitu kinaitwa Social quotient (SQ)..
Mtoto wangu mazingira niliyomlea Hayaendani na hayo mazingira so itakuwa ni kumdumaza akili kuja kujaribunkuishi mazingira hayo...

kadhalika Ni kumuumiza akili Mtu anaeishi mazingira hayo kumlazimisha aishi kama Sisi
 
Bora hao kuliko mijini kwenye minanasi yako ya Klkitaahira iliyo meupe imeoza isiyo mitamu na full chemicals, kwanini usipate kansa, kuzeeka mapema, hormones imbalance na kuwa na minyonyo kama Demu...!?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Porini hakuna mananasi tena
 
Porini hakuna mananasi tena
We wakala Mkuu wa artificial foods mnapeleka wapi dunia yetu ya awali tuliyokuwa tunainjoy zaidi kula natural foods kama tuko bustanini Eden na kutuletea uchafu wa aina hii? nanasi chachu kama mbilimbi na halinukii hata.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom