Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

Awa jamaa wanaenjoy sana life . Yaani awawazi majumba , magari , kusomesha watoto shule za mabasi ya njano yaani wako na amani tele maishani.
 
Daa imeniacha mdomo wazi
Kuna kabila niliona wanakula utumbo mbichi ila wanausafisha sana
Lakini hawa jamaa zako wachafu aisee
Jamaa linakula mpaka mavi ya ng'ombe kwenye utumbo
Halafu anajifuta kwenye mti wa miba 😄
Huyu kaniacha hoi
Hawa siku wakikosa mawindo wanajilia timing wamle mmoja
 
Hata sisi wazungi wasio na exposure wanatushangaa
 
Ninachokijua kuhusu hawa jamaa ni kwamba Wana nguvu za kiume mpaka Wana hotspot.
Yaani wanachakata mbususu ile mbaya...
 
Hadzabe tribe. Wanapitana mkoani Arusha wilaya ya Kata kata ya Endamaghan na pia wanapatikana mkoan Manyara wilaya ya Mbulu katika vijiji vya Yaeda chini, Eshkesh na Muongo mono. Hayo ndo maisha yao ila ni wachafu kwakweli
Aise ila life lao mie nimependa sana very simple ham a presha sijui kusoma mara kuringishiana magari mijumba kula chips yai. Wao kila kitu natural
 
Watu wenye furaha zaidi, wanaenjoy chakula chao kwa amani, wanashare wanachopata na kula kwa furaha zaidi,hawana stress ya kodi wala mikopo,

kisha unakuja mtu mwenye stress, maisha fake, vyakula fake, full of judgement kwa wengine unalopoka eti wanashida na maisha yao magumu na mabaya.(wamekuambia wanashida?)

They mighty live a short life but it's at fullest.
 
Back
Top Bottom