Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Wewe kweli mtata 😁Poor Brain na BICHWA KOMWE - ni waramba vinyeo hiyo ni sawa kwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kweli mtata 😁Poor Brain na BICHWA KOMWE - ni waramba vinyeo hiyo ni sawa kwao.
Safi kabisa namana hapo unazungumzia maisha mareeeeeefu sana sana mingi mingi yasiyokuwa na kisukari Wala presha na me ndio naishi
Huwezi kuishi maisha marefu katika mazingira kama hayo.kwa mmi ninavyo ona huenda binadamu wanao ishi mda mrefu zaid oya hawana stress ao mbuzi yani hadaiwi kod kila Kitu anajua ulicho wapita ao ja Maa kubadilisha nguo na lami wanakula wanaenda kazini nimeona hadi wanakula viazi mbatata ***** 😂😂😂😂😂 we upo uku mjini na stress zako kiufupi tumejaa kwenye system ya mzungu na waangefungua Chanel kule you tube na media zingine wangepiga sa Ana hela Kwanza wana trend sana 🤣🤣
Ni mojawapo ya jamii zenye maisha mafupi sana hapa duniani. Maisha marefu yanaendana na kiwango cha maendeleo, jamii zenye maendeleo makubwa ndio zenye maisha marefu zaidi kadri ya maendeleo yao.Safi kabisa namana hapo unazungumzia maisha mareeeeeefu sana sana mingi mingi yasiyokuwa na kisukari Wala presha na me ndio naishi
Halafu wala baga wa dar es salaam wastan wao wa kuishi ni miaka 45ndio aone tofauti hapo je ni sahihi kuish hivyo au sio sahihihao wastani wao wa kuishi ni miaka 70
ndiyo maana yake.Halafu wala baga wa dar es salaam wastan wao wa kuishi ni miaka 45ndio aone tofauti hapo je ni sahihi kuish hivyo au sio sahihi
Hayana tofauti sana na mazingira yetu ya huku Tandika.Huwezi kuishi maisha marefu katika mazingira kama hayo.
🤣 🤣 🤣Mind your business budaa!!!
Mkuu kwenye vipimo vya uzima na utimamu, I can bet, wapo vizuri kukuliko wewe!!!Hawa jamaa ni Mental disturbed ama? Wako wapi?
Mbona hamuwafati huko Nyikani Sasa.Ewaaa mwanaume ana nguvu zote
Mkuu hakuna study au research iliyofanyika kusubstantiate hilo, kama ipo inukuu hapa.Huwezi kuishi maisha marefu katika mazingira kama hayo.
Ziko studies nyingi sana za kuonyesha hunters and gatherers ni jamii zenye maisha mafupi kuliko jamii nyingine(wastani wa miaka kati ya 40-50). Modernization imemefanya binadamu aishi miaka mingi sana, ndio maana Japan na Ulaya wastani wa maisha ni miaka 80.Mkuu hakuna study au research iliyofanyika kusubstantiate hilo, kama ipo inukuu hapa.
Ninacho fahamu bila chembe shaka ni kuwa maisha yao sio ya stress, pressure au lifestyle diseases.
Maisha yao yamejikita kwenye kula, kuuza a na kulala period.
Hadzabe tribe. Wanapitana mkoani Arusha wilaya ya Kata kata ya Endamaghan na pia wanapatikana mkoan Manyara wilaya ya Mbulu katika vijiji vya Yaeda chini, Eshkesh na Muongo mono. Hayo ndo maisha yao ila ni wachafu kwakweli