Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

Hadzabe tribe. Wanapitana mkoani Arusha wilaya ya Kata kata ya Endamaghan na pia wanapatikana mkoan Manyara wilaya ya Mbulu katika vijiji vya Yaeda chini, Eshkesh na Muongo mono. Hayo ndo maisha yao ila ni wachafu kwakweli
Meatu pia vijiji vya Iramba Ndogo na Sungu ila tuko kwenye mkakati wa kuwameza waliomaliza miaka 20 ijayo kabla hawajawa Wasukuma labda siyo mimi!
 
Lakini wote wanaishi maisha ya kipindi cha stone age. Yaani tofauti yao na wanyama pori ni ndogo
Stone age walikuwa hawafugi wala kutengeneza zana za chuma kama Wamasai.
 
Hadzabe tribe. Wanapitana mkoani Arusha wilaya ya Kata kata ya Endamaghan na pia wanapatikana mkoan Manyara wilaya ya Mbulu katika vijiji vya Yaeda chini, Eshkesh na Muongo mono. Hayo ndo maisha yao ila ni wachafu kwakweli
Makabila ya huu mkoa yananichanganya sana, mfano Kuna Wagorowa/wafyomi, wairaq/wambulu, warangi, wamasai hao kidogo naweza watofautisha sasa changamoto ni Wambugwe, wadatoga, Mang'ati, barbaig, hadzabe & watindiga
 
Back
Top Bottom