Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
🤣🤣🤣🤣🤣 apiaKila niki share picha zinafutika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 apiaKila niki share picha zinafutika
Unaeza dhani wako Mental Disturbed, kumbe wewe ndiye uko mental disturbed na haujui🙂Hawa jamaa ni Mental disturbed ama? Wako wapi?
HA!HA!HAUnaeza dhani wako Mental Disturbed, kumbe wewe ndiye uko mental disturbed na haujui🙂
HA!HA!HAMkuu kwenye vipimo vya uzima na utimamu, I can bet, wapo vizuri kukuliko wewe!!!
Hizo ni jamii indigenious. UN inazitambua kwenye orodha yake. Hawadhuru mtu ni maisha yao. Wana haki ya kuishi wanavyoishi.Namna wanavyokula ni lahisi kuambukizana magonjwa ikitokea mmoja wao kaugua.Tungekuwa na serikali inayojitambua ingekuwa imekomesha hizo Mila za kipuuzi.Hapo hakuna Cha kuenzi Mila ni upuuzi tu.
Nope mkuu, these guys are way better than us in many ways.HA!HA!HA
Kwenye Afya nakubali - miili yao inaweza kuresist changes zozote .
Kwenye utimamu "🧠" hapana, Sababu hawa ni kama Wanyama .
Like what?Nope mkuu, these guys are way better than us in many ways.
Wanaishi maisha mazuri tu na wameridhika nayoHayo siyo maisha ya kuishi binadamu karne hii,jamaa wana uchu balaa wao wanakula nyama yoyote inayokatiza mbele yao,wanalala kama wanyama lakini wao wenyewe na watetezi wao wanadai wanaenzi mila na tamaduni zao na serikali haitaki kugombana nao kwanza wanaona wamewapunguzia gharama hasa ukichukulia hiyo serikali yenyewe haijali wananchi basi ndiyo kabisa.
Kweli kabisa,wako vizuri sana kiafyaNope mkuu, these guys are way better than us in many ways.
Infact we human beings falls under the animal kingdom. therefore we are animals.
The difference is, we the so called civilized one, are caged animals while they, are free animals!!
🙋♂️🎯👍👌👊👏🤝🙏🗼Wanaishi maisha mazuri tu na wameridhika nayo
Jamaa hawana stress kabisa na maisha ..... na ukiwa huko huwezi sikia wanaumwaumwa ovyo
Nazungumza hivi ,maana kuna wakati nliendaga na rafiki yangu mgeni na tulikaa pande hizo karibia wiki 3
Ova
Mijini huku watu wanajiona wanaishi kumbe wagonjwa kibao🙋♂️🎯👍👌👊👏🤝🙏🗼
Mkuu mimi nilikuambia kwenye jibu langu kuwa mimi, wewe na wao tupo kundi moja la wanyama.Like what?
Nakupata mkuu, unamaanisha kwamba hawa wako huru sababu primary Function kwao ni kuishi tu .Mkuu mimi nilikua bia kwenye jibu langu kuwa mimi, wewe na wao tupo kundi moja la wanyama.
Kwa hiyo wewe huna tofauti wao. Nikakuonesha kuwa sisi tunaojiona kuwa tumestaraabika na kuendelea kimsingi umekuwa watumwa.
Tofauti na wao walio poroni ila wapo huru.
🙋♂️🎯👍👌👊👏🤝🙏🗼🎖️🏆Nakupata mkuu, unamaanisha kwamba hawa wako huru sababu primary Function kwao ni kuishi tu .
Pia unasema kwamba sisi ni watumwa kwakua tumejipa mahangaiko mengi ya maisha like Elimu, kazi, pesa, kilimo n.k
Nimekuelewa bro 👍🏾
Ila nafikiri sisi ni bora zaidi kama ni Software tuko Latest version ila hawa jamaa bado hawako updated kulingana na Muda na Mazingira ...
Kipindi cha zamani sana tulikua hivi, Lakini kwakua binadamu ni Mental smart tukaanza kuchange kulingana na Mazingira tofauti na wanyama wengine like "Nyani, Ng'ombe nk" ....
Nafikiri hawa jamaa jamii yao haijawahi changamana na jamii nyingine untill hiyo situation ikakomaa, Ila as long as wana survive, It's Gratefull....
Hayo siyo maisha ya kuishi binadamu karne hii,jamaa wana uchu balaa wao wanakula nyama yoyote inayokatiza mbele yao,wanalala kama wanyama lakini wao wenyewe na watetezi wao wanadai wanaenzi mila na tamaduni zao na serikali haitaki kugombana nao kwanza wanaona wamewapunguzia gharama hasa ukichukulia hiyo serikali yenyewe haijali wananchi basi ndiyo kabisa.
Mtoto inategemeana ni mtoto wa umri gani. Kama mtoto anaye weza kufanya maamuzi yake na akakubali kuolewa au kuishi huko mimi nita support. Mimi siwezi kuampangia mtu namna ya kuishi.Unaweza kuruhusu mtoto wako aolewe au aoe huko na aishi mfumo huo wa maisha?