Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

Mkuu kwenye vipimo vya uzima na utimamu, I can bet, wapo vizuri kukuliko wewe!!!
HA!HA!HA

Kwenye Afya nakubali - miili yao inaweza kuresist changes zozote .

Kwenye utimamu "🧠" hapana, Sababu hawa ni kama Wanyama .
 
Namna wanavyokula ni lahisi kuambukizana magonjwa ikitokea mmoja wao kaugua.Tungekuwa na serikali inayojitambua ingekuwa imekomesha hizo Mila za kipuuzi.Hapo hakuna Cha kuenzi Mila ni upuuzi tu.
Hizo ni jamii indigenious. UN inazitambua kwenye orodha yake. Hawadhuru mtu ni maisha yao. Wana haki ya kuishi wanavyoishi.
 
HA!HA!HA

Kwenye Afya nakubali - miili yao inaweza kuresist changes zozote .

Kwenye utimamu "🧠" hapana, Sababu hawa ni kama Wanyama .
Nope mkuu, these guys are way better than us in many ways.

Infact we human beings falls under the animal kingdom. therefore we are animals.

The difference is, we the so called civilized one, are caged animals while they, are free animals!!
 
Wanaishi maisha mazuri tu na wameridhika nayo
Jamaa hawana stress kabisa na maisha ..... na ukiwa huko huwezi sikia wanaumwaumwa ovyo
Nazungumza hivi ,maana kuna wakati nliendaga na rafiki yangu mgeni na tulikaa pande hizo karibia wiki 3

Ova
 
Kweli kabisa,wako vizuri sana kiafya

Ova
 
Wanaishi maisha mazuri tu na wameridhika nayo
Jamaa hawana stress kabisa na maisha ..... na ukiwa huko huwezi sikia wanaumwaumwa ovyo
Nazungumza hivi ,maana kuna wakati nliendaga na rafiki yangu mgeni na tulikaa pande hizo karibia wiki 3

Ova
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ—Ό
 
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ—Ό
Mijini huku watu wanajiona wanaishi kumbe wagonjwa kibao
Mtu kutembea km 1 tu mtihani hoiii

Ova
 
Like what?
Mkuu mimi nilikuambia kwenye jibu langu kuwa mimi, wewe na wao tupo kundi moja la wanyama.

Kwa hiyo wewe huna tofauti wao. Nikakuonesha kuwa sisi tunaojiona kuwa tumestaraabika na kuendelea kimsingi umekuwa watumwa.

Tofauti na wao walio poroni ila wapo huru.
 
Nakupata mkuu, unamaanisha kwamba hawa wako huru sababu primary Function kwao ni kuishi tu .

Pia unasema kwamba sisi ni watumwa kwakua tumejipa mahangaiko mengi ya maisha like Elimu, kazi, pesa, kilimo n.k

Nimekuelewa bro πŸ‘πŸΎ

Ila nafikiri sisi ni bora zaidi kama ni Software tuko Latest version ila hawa jamaa bado hawako updated kulingana na Muda na Mazingira ...

Kipindi cha zamani sana tulikua hivi, Lakini kwakua binadamu ni Mental smart tukaanza kuchange kulingana na Mazingira tofauti na wanyama wengine like "Nyani, Ng'ombe nk" ....

Nafikiri hawa jamaa jamii yao haijawahi changamana na jamii nyingine untill hiyo situation ikakomaa, Ila as long as wana survive, It's Gratefull....
 
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ—ΌπŸŽ–οΈπŸ†
 
Hao wote ikifika uchaguzi wanakipigia kura chama chetu CCM. Ni watu wa muhimu sana.
 
Hawatishii interests za chamaπŸ˜€ bila hivyo wangefurushwa kama wale wakina Yero Sobayi.
 
Unaweza kuruhusu mtoto wako aolewe au aoe huko na aishi mfumo huo wa maisha?
Mtoto inategemeana ni mtoto wa umri gani. Kama mtoto anaye weza kufanya maamuzi yake na akakubali kuolewa au kuishi huko mimi nita support. Mimi siwezi kuampangia mtu namna ya kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…