Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 653
- 1,698
Acha unoko kwani we celebrity hebu mpe riziki maskini
Una akili? unajua kusoma na kuelewa?Acha unoko kwani we celebrity hebu mpe riziki maskini mwenzio
Sawa sawa mkuu.Yes absolutely okay.
Sio lazima utarajie kupata kitu Kwenye kila unacho fanya boss, binafsi inaridhisha sana kufanyiwa hvyo
Una akili? unajua kusoma na kuelewa?
umeona nimeandika sitaki apige picha mali yangu? Mimi nimeuliza ni sahihi au sio sahihi.
Je kama mimi ni fundi cherehani nimepiga picha nguo ya mtu na sasa ananiletea shida ndio maana nataka kujua ni sahihi au sio sahihi?
Matusi ya nn.ok .sio sahihi maana kwanza unaingilia faragha yake pili Ubunifu ni bidhaa kusambaza bila taarifa ni wizi .Una akili? unajua kusoma na kuelewa?
umeona nimeandika sitaki apige picha mali yangu? Mimi nimeuliza ni sahihi au sio sahihi.
Je kama mimi ni fundi cherehani nimepiga picha nguo ya mtu na sasa ananiletea shida ndio maana nataka kujua ni sahihi au sio sahihi?
Elewa mada. Jinsia haihusiani na mada mkuu. Swali ni sahihi au sio sahihi?We ni me au ke?
Sasa umenijibu vizuri, samahani kwa lugha kali.Matusi ya nn.ok .sio sahihi maana kwanza unaingilia faragha yake pili Ubunifu ni bidhaa kusambaza bila taarifa ni wizi .
Kwahiyo ni sahihi mkuu?Watanzania wengi hatujatofautiana roho mbaya na wale Polisi walioua huko Mtwara....unakuta yeye anafanya kila kitu kwa kuangalia mtandaoni ila cha kwake hataki watu waangalie roho mbaya tu hiyo...
Habari?
Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana.
Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya.
Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga nyumba yako picha na kuianika mitandaoni.
Wengine ni fundi nguo. Unatafuta mshono wako wa nguo yako ya siku yako muhimu mfano harusi, kisha unampa kazi. Akimaliza anaivalisha kwenye mdoli anaiweka kama matangazo na kuituma mitandaoni.
Je ni sahihi nikulipe pesa ufanye kazi yangu kisha utumie kujitangaza bila makubaliano na mimi?
Sawa mkuu nimekuelewa.Mkuu, kwani anapoitangaza anataja na majina ya Mmiliki?
Mfano;
Hii nyumba ni ya Ms Sheillah, ipo mtaa wa Kinondoni B. Paa na urembo wa ndani nimefanya mimi, Fundi Restart. Hebu angalia ilivyopendeza.
Kama hatoi maelezo ya Mmiliki basi sioni shida. Picha hizo ndizo CV yake. Bila shaka hata wewe ulishawishika baada ya kuona kazi zake.
Lakini kama ni kitu ambacho hukitaki, basi mwanzo wa makubaliano yenu mtahadhari kuwa usingependa nyumba yako ipigwe picha.
Sawa Mkuu.Yatakiwa mkubaliane kabla ya kumpa kazi, kuwa hataruhusiwa kupiga picha na kuzitumia kibiashara.