Acha tuulize tupate majibu kisheria zaid lkn kama mdau alvyosema kama unatambulika kisheria na umejisajili BRELA akifanya hivyo ni kosa na anatakiwa akulipe kabisa au hatua za kisheria zifuatwe lakn kama haujajisajili na wala hautambuliki na BRELA kama ni m-bunifu labda wa mavaz au kazi nyingne za kisanii bas hana kosa lolote na ni sahihi pia kwa yeye kufanya hivyo