Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Ngapulila

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
841
Reaction score
747
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
 
Ni sahihi kama umekubali alikusingizia...
kama mlishayamaliza hakuna tatizo lolote mkuu
 
Kama mtoto naye hafanani na mama yake baasi, mkeo naye kasingiziwa! (Jokes! 🤣)

Anyway, Hapo mkae tu mzungumze vema na mkeo, kama familia ina amani msiivuruge ni ngumu sana kuipata na kuirejesha amani.

Vipi mkuu, wewe huna mtoto wa nje hadi sasa?
 
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mm baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Subiri siku huyo mkeo akuporomoshee tusi mbele za watu kuwa hata huyo mtoto si wako'!

Ushauri wangu: Tafuta amani ya moyo. Jitenge nao kwa muda upate nafasi ya kutafakari. Faida ya kufanya hivyo utapata namna ya kuweza kusamehe hatimaye utarudi na kuishi nao kwa upendo. Kuendelea kuhifadhi kinyongo moyoni unaweza ukaishia jela bila kutarajia
 
Back
Top Bottom