Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mm baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Umesema wife??
 
NAKUHURUMIA BRO!
iT'S like you are playing another man saved game. or chewing a gum from under the desk.

That kid will never respect you bro! (labda asijekujua ukweli)

maoni na ushauri wangu kwako,
kama utaamua kumlea mtoto sawa JUST DO IT FOR LOVE / DO NOT EXPECT ANY FAVOR.
 
Kwanza mtoto hafanani na mm wala wife

Pili wife alimwmbia rafiki yake lakini siri ikavuja hadi kunifikia
mkuu umefupisha story .
hizo taarifa ulizofupisha uwenda zingefanya watu wakupe ushauri mzuri.

kwakuwa alimweleza rafk yake na siri imevunjika.

bro
u deserve better.
huyo siyo mkeo
achana nae bro .
run run ,
 
Back
Top Bottom