Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Hofu yangu
Subiri siku huyo mkeo akuporomoshee tusi mbele za watu kuwa hata huyo mtoto si wako'!

Ushauri wangu: Tafuta amani ya moyo. Jitenge nao kwa muda upate nafasi ya kutafakari. Faida ya kufanya hivyo utapata namna ya kuweza kusamehe hatimaye utarudi na kuishi nao kwa upendo. Kuendelea kuhifadhi kinyongo moyoni unaweza ukaishia jela bila kutarajia
Mwenye mtoto akija kudai
 
Kinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
Kama ushapima na DNA ila anabisha badooo bhasi amkaaa siku upoteee jumlaa ukaanze maisha mapya huko.. Kama mmejenga bhasi hapo pagumu aisee itaa kikao cha Ukoo kwao na kwenu Utoe majibu ya DNA ndoa iishiee hapo.
 
Ila ukae Naye tuu hakuna namna,mimi mwenyewe nafikiria kuadopt ,ila Nina wa kwangu
 
Hofu yangu n kama baba wa mtoto baadae akidai mtoto wake
Akidai unampiga tu faini ya gharama ulizotumia kwa mtoto (Kutunza Mimba, kuzaa, na kumtunza mpaka alipofikia), na interest ku-cover kupanda gharama za maisha, na fidia ya kumtumia Mkeo mpaka akazaa, kisha unachukua huo mpunga - na kumuachia mtoto, wewe unaendelea tu na maisha na Mkeo.
 
Moyo unauma sana mtoto amenizoea sana kama baba yake

Nawaza nashindwa kujua nifanyeje na mama yake n aina ya wanawake ambao bila msaada wa kusimamiwa kila kitu kunakwama
Tatizo kubwa uliona mke wa mtu mzee, hawa wanawake huwa wanarudi kwa maboyfriend zao na huwabebea npaka mimba na huku wana ndoa zao
 
Back
Top Bottom