Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

"wife alichepuka,akabeba mimba,kajifungua mtoto hafanani na wewe wala mama yake" Mmmh!! Hii statement sijaielewa.
 
Lazma ushtuke maana mtoto wa kwanza nafanana nae iweje huyu hata mama ake hamfanani,pili nilimnunua smartphone nikamuweke callrecoder faili nikalificha,baada ya week mbili nikajua mpaka jamaa anaongea na kuhusu mtoto wake na mpaka mama mkwe alishaambiwa.
😳Una ID mbili?
 
Hivi kisheria huyo aliyezalisha kwenye ndoa ya mwenzie atakua na haki kudai mwanae.... sijui kisheria inakaaje.... lkn kiasili mtoto mwenyewe atatamani aje kumuona baba ake akishakua
 
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mm baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Huna uhakika hizo ni dhana tu, kama hakufanana na nyinyi wote basi nenda ukapime DNA inawezekana mumepewa mtoto siyo wenu huko hospitali.
 
Muache mzee Hadi umekuja kulitamka huku utakuja kumdhuru mkeo au mtoto ushauri mzuri ni umuache tu, wanawake wako wengi kama hakuona THAMANI yako zaidi uki force ATAKUONA ZOBA kama yule wa nyimbo ya banana zorro
 
Ni sahihi.

Maana mtoto ni mtoto.

Kikubwa anapumua.
 
Inaonekana unamuonea huruma mtoto, una watoto wengine na huyo mwanamke,?
Mwanzo niliwaza uendelee tu kuishi nae ila huyo mwanamke kama amekataa kukubali kosa na bado ameamua kutangaza kitu kama hicho kwa rafiki yake inaonesha jinsi gani ana confidence juu yako, angekua anajitambua angenyamaza na pia angekubali kosa , hapo jiandae kuambiwa hata huyu mtoto sio wako kwenye majibizani na hata mtoto mwenyewe anaweza kukukataa akiwa mkubwa.

PIGA CHINI MAPEMA
 
Hivi kisheria huyo aliyezalisha kwenye ndoa ya mwenzie atakua na haki kudai mwanae.... sijui kisheria inakaaje.... lkn kiasili mtoto mwenyewe atatamani aje kumuona baba ake akishakua
Kisheria atambulika baba mzazi na sio mlezi.

Hivyo ana haki ya kumwona mwanae, kumpa ubini wake na mengineyo mengi.

Fuatilia kesi Moja ilitokea Uganda kuhusu Mama aliyezaa mapacha mmoja wa Mume ndani ya Ndoa na wa pili mchepuko.

Mahakama ikampa haki zote yule Mchepuko wa mkewe baada ya vinasaba kuthibitisha pacha mmoja wapo ni wake.
 
Vijana wa siku hizi hawataki kabisa kuusikia huu msemo wa "kitanda hakizai haramu............",kila mmoja aubebe msalaba wake mwenyewe.
 
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mm baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?

Kuna Makosa Kwa mwanaume hayasameheki,
Mojawapo ni MKE ku-cheat,
Sasa kama alibeba mpaka mimba akakubambikia😀😀 hiyo ni zaidi ya dharau.

Hapo unafukuza wote.
Sijui Kwa nini Vijana WA siku hizi hawajiamini
 
Kuna Makosa Kwa mwanaume hayasameheki,
Mojawapo ni MKE ku-cheat,
Sasa kama alibeba mpaka mimba akakubambikia😀😀 hiyo ni zaidi ya dharau.

Hapo unafukuza wote.
Sijui Kwa nini Vijana WA siku hizi hawajiamini
Mtoto ananiwazisha sana

Nina hakika huyu mtoto anaingia kwenye maisha magumu sana

Baba mtoto mwenyewe ni Playerboy asiye na uelekeo wa kutunza mtoto
 
Back
Top Bottom