Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake
Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika
Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Yaan mpaka mtoto akufanane? Sasa mbona hata mama yake hajamfanana au na yeye sio wake??
Kwenye ndoa, face your wife as a cheat if only you have valid verifications, otherwise stop frustrating yourself.
Kuna wakati uki deal sana na tabia za mkeo utaishia pabaya, if your wife cheats you, just wait, mwanamke hawezi kuku cheat all the time, kuna mahali utapata ukweli bila kutumia nguvu
Mwaka 1999 nilimwacha mke nikahamishwa kituo cha kazi, baada miez mitatu nikarudi, ile tu kufika nyumba hata kabla sijatulia, mwanamke akaniambia ni mjamzito (shida yangu ikawa ni kwa nini ananiambia hili swala as if ana mashaka). Nilifanya utafiti bila yeye kujua, nikapa ukweli kwamba that woman was sleeping mchungaji anakasali, sikupata ushahidi wa kutosha, alijifungua mtoto wa kiume anaifanana mimi ( yupo university of Dae es salam mwaka wa pili sasa).
Kwa hilo jambo sjawahi kumwonyesha mwanqmke kuwa nilipata mashaka kipi di ni mjamzito.
Kuna wakati vijana tulieni acheni papara unapoona jambo kwa mkeo hulielewi, tulia, tulia, tulia, tafakari na pata uhakika wa jambo hilo. Acha tafran ndani ya nyumba, kuna wakati mwanamke ukimuuliza jambo kwamba amefanya kumbe kwa hakika hajafanya, ukimsumbua sana, hakika atafanya maana hana la kupoteza, maana hata kama asipofanya wewe unaamini huwa anafanya, so she will do kwa kuwa tayari ni mtuhumiwa
Inahitaji busara, hekima na wakati mwingi ukimya kwenye ndoa ili uamzi wako uwe wa faida. For me that is my philosophy.