- Thread starter
- #141
Hiyo bond niliyonayo kwa mtoto ndio inanivuruga sana kwa sasaDuh mpaka two years bond ni kali/kubwa sana kati yako wewe na mtoto..... Kuna wanawake wanajua kuvuruga Raha na stability ya familia balaaa.
Kama Biological father hana taarifa ya kuwa ana mtoto hapo kwako basi Baki tu na mwanao ulee.
Lkn kama baba aliyemwaga mbegu anajua kuwa ana mtoto hapo- kuepusha migogoro mwachie tu huyo mke na huyo mtoto. Utapata tu mwingine huko mbeleni.
Pole sana Mkuu.
Mimi hawa wa kwangu naogopa hata kuchunguza maana Bond tuliyonayo ni very strong kiasi kwamba najua itatuvuruga kihisia na Kila kitu