Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Anan
Kinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
Anakudharau sana.

Ulipimia wapi?

Nipe mwongozo nikawapime hawa wangu watatu kabla sijawandikia wosia wa kurithi mali zangu
 
Kuna Makosa Kwa mwanaume hayasameheki,
Mojawapo ni MKE ku-cheat,
Sasa kama alibeba mpaka mimba akakubambikia😀😀 hiyo ni zaidi ya dharau.

Hapo unafukuza wote.
Sijui Kwa nini Vijana WA siku hizi hawajiamini
Mama katoka nje katombwa hadi mimba akaiacha ikakua hadi akazaa na akakumbambikia....yaani anakuona kama zombie vile
 
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Acha story za kinyonge hizo, kuna watakao kwambia samehe tu mtoto hana kosa, ndiyo hana kosa lakini siyo mtoto wako.
Hicho siyo kiwanja, ni eneo la majaruba
 
Baba yake yupo Huko Kusini dereva wa Daladala kazalisha sana wanawake huko

Dogo day care nimelipia 2m ada ya mwezi sijui maisha yake yatakuwaje

Mama mtu naye n mzigo tu kila unachomwanziashia kufanya kinakufa
Nakushauri uendelee na upuuzi wako na ndio maana mkeo kapata guts za kuzaa nje, kisha akamwambia rafiki yake, kisha mkapima akakana majibu ya DNA. Wewe ni mnyonge, ishi hivyo hivyo na mkeo anakujua ndio maana anagomea hata DNA results.

Huna cha kumfanya unatia huruma kwa mtoto, endelea hivyo baba huruma. Am sorry ungekuwa karibu ningekuzaba makofi hiyo limbwata kichwani ifyatuke. Eti unamuonea huruma mtoto baba yake sijui ujinga ujinga gani, subiri ufanye murder ukae jela.

Nikajua basi mke ana advantage unaweza kusamehe hili ukitarajia halijirudii kumbe mzigo tu akili fupi, na uwezo wa kuhandle situation ya hivi kwamba amezaa nje basi ajiheshimu akate mawasiliano na baba mtoto hana, kama ni kilaza na hana shughuli ya kufanya hesabu maumivu mwendelezo.
 
Mtoto ananiwazisha sana

Nina hakika huyu mtoto anaingia kwenye maisha magumu sana

Baba mtoto mwenyewe ni Playerboy asiye na uelekeo wa kutunza mtoto
Mae...una shida wewe, siyo bure. Huko tunapoelekea na huu uzi utakandikwa makofi au mods watakupiga ban.
 
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
We are sailing in the same boat...
mimi wangu nilifukuza kabisa akarudi kwao ili wazazi wake nao wayasikie maumivu
....
na aliempa mimba nae akaikataa qmmake🥵🥵🥵
Screenshot_20230203-125150.png
 
Bro mwanamke achana nae lakini kama mtoto unampenda na mna connection, siku zote mchukulie kama mwanao wa kumzaa..hutoumia...watoto hawana kosa na hawapaswi kulipia dhambi za wazazi wao, kama unaitwa baba mwamvita sijui John, ibaki hivyo hivyo...Love is Love bro
 
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Hafanani na mama yake tena! Itakuwa labda mlibadilishiwa hospitali kama alizaliwa hospitali.
 
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
"Listen to your gut"
By
Almas Mazigo
Course:-Ethics
 
Wewe una akili timamu kweli? Anakuwazisha kwani ni mtoto wako? Unanitia hasira asee!
Na kuna swali unalikwepa hadi sasa hivi..... huyo mke una watoto nae wangapi?
Nakuelewa Mkuu n hali inafika akili inaganda
 
Back
Top Bottom