ann056
Senior Member
- Nov 7, 2021
- 183
- 245
peleka mtt kwa baba yakeKinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
peleka mtt kwa baba yakeKinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake
Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika
Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Kinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
Nawaza hivyo ila nikifkr maisha ya mtoto yatakuaje nachanganyikiwa kabisa
Wife n mama wa nyumbani tu
Naona kuna dalili ya wewe kupamba vichwa vya habari ya kwamba umejitoa uhai au umemtanguliza mtu futi 6.Hiyo bond niliyonayo kwa mtoto ndio inanivuruga sana kwa sasa
Kampata wapi?Wake sio wa watu
Amkate masikio huyo mtoto ili iwefundishobroo peleka huyo mtoto kwa baba yake utanishukuli baadae,
Ina maana dna umepima? If yes unachongoja ni nini?Kinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
Huo ndio ufala. Mtu chepuka na bado hataki kukubali kosa huyo ni jeuri.Wenye nguvu husamehe
Wenye akili hudharau au kupuuzia
Dhaifu hulipiza kisasi.
Jipime mwenyewe sasa.
Kisheria atambulika baba mzazi na sio mlezi.
Hivyo ana haki ya kumwona mwanae, kumpa ubini wake na mengineyo mengi.
Fuatilia kesi Moja ilitokea Uganda kuhusu Mama aliyezaa mapacha mmoja wa Mume ndani ya Ndoa na wa pili mchepuko.
Thanks..... nimemreport mwenzi wangu ustawi, wito wa kwanza hajatokea, wiki hii nimepeleka wito wa pili naamin hatotokea watatu nimpeleke mahakaman..... Baada ya kujifungua mtoto akasepea kwa mshikaj mwingine pamoja na hudua nilizokua natoa, na kampa na mtoto huyo mwamba na yy anajua kua n baba wa mtoto..... nimechagua kupambana nimpate japo wengine walinishauri kua atakuja mwenyewe akikua, mimi nataka nimpate kabla hajakua
Mahakama ikampa haki zote yule Mchepuko wa mkewe baada ya vinasaba kuthibitisha pacha mmoja wapo ni wake.
Pole, sikiliza moyo wako unatakajeNimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake
Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika
Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Wewe ni fala sana ujue. Sasa ulitaka akubali wakati anajua wewe ni bwege lake?! Kama amebeba ujauzito hadi kajifungua na umelea mtoto si wako miaka 2 ulitaka akatae kuwa mtoto si wako ili akose huduma unazompa za bure.Kinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
Koma na ukomaeNimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake
Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika
Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?