Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

Ile inakuja unexpected yani, hakuna utamu kama kukunjia kwenye gari. Shida ni hiyo mikosi mnayosema, lakini pia gari ambayo inabeba familia, sio sawa...ila ukweli ni vitam.
 
Wanajamvi

Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani.

Hii imekaaje?Ni sahihi kweli?

Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
Wote uliowahi kuwaona ni wagonjwa wa akili,hivyo pindi uonapo hao wagonjwa wa akili toa taarifa katika vyombo husika ili weweze kupati tiba ya ugonjwa wa akili.Na pia hujataja ni maeneo gani ili uweze kupata usaidizi wa kuwafikisha vituo vya tiba za ugonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…