Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

Unaweza usiamini katika "Mungu" ama "Dini" ila baada ya kufanya hayo mapenzi ndani ya gari

Matokeo yake sio mazuri kabisa. ACHA NA USITAMANI
 
Kwanza kabisa, hakuna mkosi wowote wa kula mzigo kwenye gari, kikubwa gari iwe na tinted ili kulinda faragha. Tuache mawazo ya kishirikina. Ajali zinatokea kila siku na hazina uhusiano wowote na ngono kwenye gari.

Pili, sio kweli kwamba wanaokula mzigo kwenye gari hawana hela ya lodge. Kuna raha yake kula mzigo kwenye gari! Ni sawa useme wanaoenda kuangalia mpira bar hawana tv nyumbani.

Tatu, watanzania tujifunze kufuata mambo yetu, tuachane na mambo yasiyotuhusu! Asilimia 90 ya wabongo wakiona gari inatikisika lazima wakachungulie wanataka kuona ni nini kinaendelea humo ndani! Yanakuhusu? Jifunze kufuata mambo yako..!!

Asanteni.
 
Correct 100%
 
DHAMBI YA ZINAA NI MAUTI.

YESU NI MFANO BORA ALIEFANIKIWA KWA KUTUFUNDISHA KWAMBA MWILI NI HEKALU LA ROHO MTAKATIFU.

ZINAA HULETA GUNDU NA UMASIKINI MKALI
Sio mwili huu wa ugali harage au chai andazi
 
Nlishapigaga kwenye ASHOK LEYLAND miaka hio Serengeti kashika magotii Tarcle jeusiii fiiii tumetoka shamba dunia uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…