muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Pengine hakuna hata mateso, anang'ang'ana tu akae na mwanae.Una uhakika Anateseka??Fanya uchunguzi kwanza alafu ndio uone namna ya kuzikomba hatua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine hakuna hata mateso, anang'ang'ana tu akae na mwanae.Una uhakika Anateseka??Fanya uchunguzi kwanza alafu ndio uone namna ya kuzikomba hatua.
Habar Wana JF!
Kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa mtoto huyo aende akaishi na baba yake tutakapo oana, na yeye akaafiki na kweli baba mtoto alimchukua akawa anaishi naye, na baba wa huyo mtoto kaoa ana mke ana watoto wengine.
Sasa siku zimekatika majuzi huyu mke wangu kaenda kumsalimia mtoto wake Kwa baba yake , karudi ananiambia huyo mtoto wake anateseka sana huko, kakonda, hasomi nk, Kwa hyo anataka amchukue Kwa baba yake tuwe tunakaa naye sisi.
Naomba ushauri wenu wadau, itakuwa ni SAHIHI mimi kumlea mtoto wa KAMBO na baba yake yupo?.
Na kama mnavyojua changamoto za mtoto wa KAMBO sitakuwa na uhuru wakutosha kumlea ninavyotaka coz sio damu yangu. Hii imekaaje wadau?
Hayajakukuta, waache walee ambao wamepatwa.Kauli za uoga hizi,kulea bao la mtu mwingine kwa matarajio ya kusaidiwa baadaye.
Mchukue mlee kama mwanao wala usimbague kwakuwa huijui kesho yako na uzao wako utakuwa wapiHabar Wana JF!
Kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa mtoto huyo aende akaishi na baba yake tutakapo oana, na yeye akaafiki na kweli baba mtoto alimchukua akawa anaishi naye, na baba wa huyo mtoto kaoa ana mke ana watoto wengine.
Sasa siku zimekatika majuzi huyu mke wangu kaenda kumsalimia mtoto wake Kwa baba yake , karudi ananiambia huyo mtoto wake anateseka sana huko, kakonda, hasomi nk, Kwa hyo anataka amchukue Kwa baba yake tuwe tunakaa naye sisi.
Naomba ushauri wenu wadau, itakuwa ni SAHIHI mimi kumlea mtoto wa KAMBO na baba yake yupo?.
Na kama mnavyojua changamoto za mtoto wa KAMBO sitakuwa na uhuru wakutosha kumlea ninavyotaka coz sio damu yangu. Hii imekaaje wadau?
Wakati tunakubaliana hakuna kuoa single maza wewe ulikua wapi?Habar Wana JF!

Hayawezi yakanikuta kwakuwa siwezi kufikia level ya ubwege wa kuoa single mamaHayajakukuta, waache walee ambao wamepatwa.
Na akimchukua mtoto,baba yake atakuwa anakuja kumsalimia mtoto kwa Mama yake..Hebu ngoja kwanza.
Kwamba kaenda kimsalimia mtoto Kwa Baba yake?
🤣🤣🤣🤣Aisee🙌Mtoto wa Miaka mi 5 ni mkubwa sana anaweza kujitegemea usimchukue
Acheni kuwapa mabibi kazi.isiyowahusu. Kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe.Mpeleke kwa bibi yake mzaa mama yake
Alizaaje bila kuolewa. Huoni kuna shida hapo.Ukiona huwezi kuhimili mikiki ya singlemom hupaswi kuoa singlemom....unaponichukua unachukua na wanangu....Mambo ya siyo damu yangu huo ni ubinafsi na ulozi...damu yangu damu yangu...unaweza Lea mtoto yatima wewe!? Si damu yangu,baba ake yupo....baba angekuwepo si ungekuta analelewa nae? Baba yake hayupo!!!! Unamtenga mtoto wakati umeoa mama yake,akikua anakuua huyo.Just wait and see
Kuna mazingira ukimtazama baba mzazi unaona kabisa hana madhara.Kwahyo alikuaga kwamba anaenda kumuona mtoto kwa mzazi mwenzie nawewe ukakubali aende?