Ni sahihi kulea mtoto wa Kambo?

Ni sahihi kulea mtoto wa Kambo?

Kuna mazingira ukimtazama baba mzazi unaona kabisa hana madhara.

Mfano Mtu anashinda kwenye baa za pombe kali za kienyeji kalewa chaka chaka 24/7 kachoka mara aokotwe mitaroni una hofu nae wa nini na mzazi mwenzie umempa watoto na maisha mazuri?
Nimekupata
 
Ukiona huwezi kuhimili mikiki ya singlemom hupaswi kuoa singlemom....unaponichukua unachukua na wanangu....Mambo ya siyo damu yangu huo ni ubinafsi na ulozi...damu yangu damu yangu...unaweza Lea mtoto yatima wewe!? Si damu yangu,baba ake yupo....baba angekuwepo si ungekuta analelewa nae? Baba yake hayupo!!!! Unamtenga mtoto wakati umeoa mama yake,akikua anakuua huyo.Just wait and see
Nyinyi single moms usitegemee mwanaume mwingine akusaidie kulea mtoto wa bwana wako, mtombane huko halafu utegemee mwanaume mwingine aje kulea. Mtawapata wajinga tu
 
Habar Wana JF!

Kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa mtoto huyo aende akaishi na baba yake tutakapo oana, na yeye akaafiki na kweli baba mtoto alimchukua akawa anaishi naye, na baba wa huyo mtoto kaoa ana mke ana watoto wengine.

Sasa siku zimekatika majuzi huyu mke wangu kaenda kumsalimia mtoto wake Kwa baba yake , karudi ananiambia huyo mtoto wake anateseka sana huko, kakonda, hasomi nk, Kwa hyo anataka amchukue Kwa baba yake tuwe tunakaa naye sisi.

Naomba ushauri wenu wadau, itakuwa ni SAHIHI mimi kumlea mtoto wa KAMBO na baba yake yupo?.

Na kama mnavyojua changamoto za mtoto wa KAMBO sitakuwa na uhuru wakutosha kumlea ninavyotaka coz sio damu yangu. Hii imekaaje wadau?
Babu yangu aliniambia kuoa mwanamke aliedhalishwa ni hatar sana. Na ni kusema huna ulijali umeshindwa kupata mwanamke ambaye hajazaa mpaka umfuate aliezaa?? Alisisitiza pia wazazi hawaachani kwa namna yeyote ile zaidi ya kifo na uone kaburi
 
Ndio shida ya kununua shamba lenye mgogoro, ut.to.mbe.wa hapo hadi uhisi mwenye u.na.to.mbwa
 
Naomba usikilize wimbo wa Michael Jackson " heal the world" alfu utupe majibu ya swali lako

" There's a place in your heart
And I know that it is love
And this place could much brighter than tomorrow
And if you really try
You'll find there's no need to cry
In this place, you'll feel there's no hurt or sorrow "
 
Habar Wana JF!

Kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa mtoto huyo aende akaishi na baba yake tutakapo oana, na yeye akaafiki na kweli baba mtoto alimchukua akawa anaishi naye, na baba wa huyo mtoto kaoa ana mke ana watoto wengine.

Sasa siku zimekatika majuzi huyu mke wangu kaenda kumsalimia mtoto wake Kwa baba yake , karudi ananiambia huyo mtoto wake anateseka sana huko, kakonda, hasomi nk, Kwa hyo anataka amchukue Kwa baba yake tuwe tunakaa naye sisi.

Naomba ushauri wenu wadau, itakuwa ni SAHIHI mimi kumlea mtoto wa KAMBO na baba yake yupo?.

Na kama mnavyojua changamoto za mtoto wa KAMBO sitakuwa na uhuru wakutosha kumlea ninavyotaka coz sio damu yangu. Hii imekaaje wadau?
Mwambie Mke wako aongee na Baba mtoto wake kuhusu mateso ya huyo mtoto wajue watafanya Nini kama wazazi. Simamia msimamo wako wa makubaliano yenu, mtoto alelelewe na Baba yake. Kama kuna manyanyaso au mateso huyo mkeo ampe taarifa Baba mtoto
 
Hivi inakuwaje vijana wa miaka hii mnakuwa wendawazimu sana?

Ukiona single mom amekubali kufanya maisha na wewe ujue anataka asaidiwe kulelewa mtoto

Na hawa single mom huwa hawajui kupenda anachotaka asaidiwe malezi ya mtoto

Trust me huyo malaya angekuwa hana mtoto wewe sio level zake ameamua tu kufanya maisha na wewe zoba ili ulee bao la bwana wake

Asingekuwa single mom asingekukubali kakuona mjinga. Mjinga wewe

Learn or perish

Najiuliza ni kwanini huyo mwanaume licha ya kuzaa na huyo mke wa new forest hakumuoa . Bali alienda kuoa mwanamke mwingine?
new forest umefatilia hiki kitu?
 
Mlee vizuri huyo mtoto ndio msaada wako wa badaae mambo hugeuka Broo! Mlee kama umemzaa wewe.

Fikiria kama umepata ajali umefariki then mkeo anaolewa na mwanaume mwingishe kisha ambague mtoto wako.

Mlee bila kufikiria kama baba yake yupo.
Unataka alee mtoto Kwa expectations za kusaidiwa mbeleni na siyo kulea mtoto Kwa mapenzi yake mwenyewe? 😁

Over expectation always kills!
 
Sasa siku zimekatika majuzi huyu mke wangu kaenda kumsalimia mtoto wake Kwa baba yake , karudi ananiambia huyo mtoto wake anateseka sana huko, kakonda, hasomi nk, Kwa hyo anataka amchukue Kwa baba yake tuwe tunakaa naye sisi.
Hivi wanaume ni lini tutakuwa na akili?
Kabisa unaafiki mkeo aende Kwa mzazi mwenzake? Aiseee
 
Na kama mnavyojua changamoto za mtoto wa KAMBO sitakuwa na uhuru wakutosha kumlea ninavyotaka coz sio damu yangu.
Acha Roho mbaya mkuu, kama unaweza mlee kama utakavyowalea watoto wako, usimchukulie kama mtoto wa kambo, sisi wengine tumelelewa na wazazi wa kambo walio tu treat bila usawa na watoto wao wa kuzaa lakini leo hii ndio tumebaki kuwa sehemu yao ya kwanza kukimbilia inapohitajika msaada. Mtizame kama mtoto wako, mpende.
 
Issue ni msela kuwepo karibu. Yaani wife au jamaa kuonana ni kugusa tu na kila siku huku mtandaon unasikia Huwa hawaachani kamwe!

Hii inauma sana
 
Back
Top Bottom