Ni sahihi kulea mtoto wa Kambo?

1. Huyo mkeo athibitishe kwamba mtoto anatesekaje. Anashinda njaa? Anatembea uchi au na manguo yasiyo ya kibinadamu? anapigwa bila sababu?
Maana mama obviously atakuwa tu emotional kwenye mambo yanayomuhusu mwanaye na uwezekano wa exaggeration ni mkubwa.

2. Kama mtoto anateseka, nani anamtesa? Baba yake au mama yake wa kambo? Je, mkeo na mzazi mwenza wake wamejaribu hata kutafuta suluhisho au mkeo anataka tu kukaa na mwanaye so anatafuta visababu. Kwanini mtoto kuhamia kwako iwe the first option?

3. Makubaliano yenu ya mwanzo ni mtoto akae na baba yake. Lazima makubaliano yaheshimiwe. Otherwise, ukikubali haraka, Kuna mengi yatafuata.

4. Baba mtoto atakubali mtoto wake kuchukuliwa? Ugomvi na baby daddy drama zitakustress sana.

5. Huyo mtoto akija tu, familia yako inaingia rasmi kwenye mgogoro. Mama yake hatakuplease, wewe, mwanaye na mtoto wenu. Kuna siku itakuwa ni yeye against wewe na mwanao.
 
We jamaa sio mwanaume huwezi uliza swali la kiwaki hivyo kwani wewe unavyomuoa akiwa na huyo mtoto tena wa miaka mitano hukujua kuwa bado anahitaji malezi ya mama yake?
 
Mchukue mlee kama mwanao wala usimbague kwakuwa huijui kesho yako na uzao wako utakuwa wapi
 
Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Ni mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza
 
Wakati tunakubaliana hakuna kuoa single maza wewe ulikua wapi?

Nb.. huyo mkeo ni mke wa mwanaume mwezako na mtoto sio wako. Kama umeamuakujenga kwenye kiwanja cha watu ukumbuke pia kumwachia mwenye kiwanja mali zake akirudi
 
Hivi inakuwaje vijana wa miaka hii mnakuwa wendawazimu sana?

Ukiona single mom amekubali kufanya maisha na wewe ujue anataka asaidiwe kulelewa mtoto

Na hawa single mom huwa hawajui kupenda anachotaka asaidiwe malezi ya mtoto

Trust me huyo malaya angekuwa hana mtoto wewe sio level zake ameamua tu kufanya maisha na wewe zoba ili ulee bao la bwana wake

Asingekuwa single mom asingekukubali kakuona mjinga. Mjinga wewe

Learn or perish

 
Never ignore any opportunity to help someone the next person who need help it could be you .

So just dot it you will never regret what you sow now you reap tomorrow.
 

Attachments

  • criadormaloka-cor-1726033593591.jpeg
    37.5 KB · Views: 4
Ukiona huwezi kuhimili mikiki ya singlemom hupaswi kuoa singlemom....unaponichukua unachukua na wanangu....Mambo ya siyo damu yangu huo ni ubinafsi na ulozi...damu yangu damu yangu...unaweza Lea mtoto yatima wewe!? Si damu yangu,baba ake yupo....baba angekuwepo si ungekuta analelewa nae? Baba yake hayupo!!!! Unamtenga mtoto wakati umeoa mama yake,akikua anakuua huyo.Just wait and see
 
Alizaaje bila kuolewa. Huoni kuna shida hapo.
 
Ukitaka kujua nafasi ya huyo mtoto subiri akue halafu uone mwanao kama hatomuita kaka/dada huku akisema damu nzito.

Ni hivi, mwanaume ukishaamua kuzaa na mwanamke mwenye mtoto, yule mtoto umeshamuunganisha na wewe kupitia watoto utakao zaa na huyo mwanamke. Hata ukipata tatizo lililo nje ya uwezo wako, watoto wako wanaweza wasiliana na kaka/dada yao asiye mwanao wakiomba msaada na akawasiaidia.
 
Kwahyo alikuaga kwamba anaenda kumuona mtoto kwa mzazi mwenzie nawewe ukakubali aende?
Kuna mazingira ukimtazama baba mzazi unaona kabisa hana madhara.

Mfano Mtu anashinda kwenye baa za pombe kali za kienyeji kalewa chaka chaka 24/7 kachoka mara aokotwe mitaroni una hofu nae wa nini na mzazi mwenzie umempa watoto na maisha mazuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…