Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ni SAHIHI ila tatizo baba yake yupo na sio kwamba hajiwwezi au kamkataa mtoto wake hapana. Ila ni wasiwasi WA mama yake kuwa mtoto wake anateseka Kwa baba yake Bora akae naye mwenyewe.
Mtibeli karibu kwenye chama la Miamba.Wanakudanganya.
Huyo Mtoto hajatelekezwa na Baba yake ili wewe ndîo umlee.
Mama yake ndîo anamng'ang'ania ili aishi naye Karibu. Hivyo ametafuta sababu ya kumpa Mzazi mwenziwe sababu mbaya ili amchukue
Mwambie kama anateseka ampeleke Mahakamani
Kûna Sheria za Watoto na Haki zào.
Kama yupo serious na kweli anateseka ataenda
Msaidie tu Mkuu huyo dogo,sema kama alivyosema Mwana nyuma,mpangie masharti na mipaka mkeo maisha yaendelee.
Mtibeli karibu kwenye chama la Miamba.
Elimu na burudani.
Umesemwa wewe ni shetani!Muache mtoto kwa baba yake usiwe Fala kubeba majukumu ya mtu mwingine ambae yuko hai na anatakiwa kuwajibika kwa mtoto wake, usiwe boya labda kama baba yake kafa hapo sawa ila kama yupo hai usikubali huo ujinga
Duh,Haya tuseme mama akamchukua akae nae. Utakuwa na amani kuruhusu baba yake mtoto kufanya mawasiliano na mkeo na kutuma hela za matunzo kwa mkeo?
Wanawake wanataka tuwe mafala wao ukikataa kuwa Fala wanakuita shetaniUmesemwa wewe ni shetani!
Asikubali aitumie hiyo hiyo issue kuvunja hiyo ndoa mapema.Duh,
Hapo ataepuka vipi kuto-mbewa na baba mtoto?!!! Jibu ni kuwa haiwezekani kuepuka.
Mleta mada aliingia mkenge kwa kukubali kuoa huyo single mom. Kwa sasa akubali matokeo tu. Aruhusu mtoto aletwe home halafu taratibu atafute mke wake sasa, siyo huyo "cha wote".
Na bahati mbaya kwao ni kuwa hawana uwezo wa kudrive hii dunia wanakimbilia victim card daily..Wanawake wanataka tuwe mafala wao ukikataa kuwa Fala wanakuita shetani
Dah,Asikubali aitumie hiyo hiyo issue kuvunja hiyo ndoa mapema.
Achukue mtoto aliyezaa na huyo single mom, amwambie twende wote leo tukamtembelee mwanao kule.
Wakifika awatelekeze wote kule tena amwambie yule mwamba kule kuwa nimemleta mkeo wa kwanza na ndama juu hivyo ishi na wake zako wote.
Ningemuoa maana nia nilikuwa nayo ya dhati lakini shida ulishaweka alama yako ya kudumu kwa huyu mwanamke so huyu ni wako..
Mwanaume unatakiwa uwe na suprise package for once acha kutafuta maridhiano kwenye maisha yako.
Inatakiwa ieleweke kuwa huna mchezo linapokuja suala linalohusu maisha yako.
Joannah acha upimbi hatujalelewa na baba wa kambo.Humu wanaokushauri usimlee mtoto ukitrace historia zao wamelelewa na baba za kambo....akili mtu wangu!
Ndo hivyo mwanaume usikubali kuwa mjingaNa bahati mbaya kwao ni kuwa hawana uwezo wa kudrive hii dunia wanakimbilia victim card daily..
Dunia haiendeshwi kwa victim card.
Kuna mmoja hapa nimekula mzigo mara moja naona ananiimbia nyimbo za kuolewa tu..
Sijui ananiona malaika sana?
Angejua ushetani wetu ulivyo sasa hivi haupimiki.
Oya Lucha tuitwe tu mashetani,, kama ushetani wetu ni mzuri kwetu inatosha sio lazima umfae na mwingine..
Kauli mbiu yetu mpya " Ushetani uendelee" Nitakuwa nakutag kila sehemu inayohitaji kumwaga ushetani.
Tunamwaga tunatambaa au unasemaje Devil one?
By Devil one promax.
Na baba mtoto anakuwa na uhuru wa hadi kumfira huyo mwanamke maana anajua hawezi kusemea popote maana ameolewa hivyo akisema itajulikana walitomberner.Dah,
Ni ngumu sana kuishi na mke wa mtu. ME na KE wakizaa mtoto wanaweza wasioane, ila kwa habari ya kupeana utamu huwa hawaachani kamwe!
Ukijiingiza kuoa KE wa hivyo lazima utapata taabu sana.
Kukiwa na shughuli huko kama msiba, nk lazima apeleke mwanaye kuhudhuria maana hao Babu, bibi, shangazi, nk ni ndugu zake wa damu.
KE akifika huko cha kwanza anakutana na mpenzi wake (mzazi mwenzie) na wame miss each other, kifuatacho kabla ya yote ni kitomb.o cha kufa mtu
Kwani mkuu, chuki yote hii kwa watoto sababu ni nini? Woga mkeo asigongwe na baba mtoto? Kuna vijana ni wapuuzi tu, wanazalisha wanakaa kwenye vijiwe wakilamba lips hawataki kusikia kuhusu responsibilities. Sasa kama uwezo upo, na mama yake umemtaka, na hajaficha uhalisia wake kuwa ana mtoto, na umemzalisha wadogo zake wengine, tatizo lipo wapi ukilea mtoto ambaye hukubambikiziwa umemkuta yupo na mwanamke uliyemtaka mwenyewe? Akileta umalaya si unamwacha? Tena unaweza kumwacha na bado watoto wote ukaendelea kuwalipia ada kama MUNGU amekubariki na kipato maana hata ukimtelekeza bado ni ndugu wa damu wa watoto wako. Umalaya ni wa mama.Wanakudanganya.
Huyo Mtoto hajatelekezwa na Baba yake ili wewe ndîo umlee.
Mama yake ndîo anamng'ang'ania ili aishi naye Karibu. Hivyo ametafuta sababu ya kumpa Mzazi mwenziwe sababu mbaya ili amchukue
Mwambie kama anateseka ampeleke Mahakamani
Kûna Sheria za Watoto na Haki zào.
Kama yupo serious na kweli anateseka ataenda
Hofu ya kugongewa Ipo wapi hapo?Kama uwezo upo, na nina ufahamu sio kwamba nimebambikiwa, nikimlea asiyetoka kwenye viuno vyangu kuna tatizo gani?
Kila nikiwasoma hoja zenu zinaangukia sehemu moja tu, hofu ya kugongewa ambayo kwangu mm haina mashiko. Malaya atagongwa tu hata kama ulimchukua bikira. Asiye malaya atatunza heshima yake hata kama alishaichafua kabla.
Sasa tatizo ni nini kama kipato kipo na umemtaka mama yenye mtoto? Weka ndani, muongezee watoto wengine wa4, lea.Hofu ya kugongewa Ipo wapi hapo?
Huyo ni mtoto wa watu, hawezi akawa na mamlaka naye sababu baba wa mtoto yupo na mbaya zaidi mama wa mtoto ndiye anataka kumchukua mtoto wake.1. Kama NI Mtoto WA Kike mchukue umlee hata Leo hii. Hapa Hakuna masharti
2. Kama NI Mtoto WA kiume Hapo wekeni makubaliano kadiri utakavyoona.
3. Kama Mkeo anakazi ya kuzalisha kipato Lea.
4. Kama Mkeo anakutii Lea.
Lakini napata shida kuhusu kuvunjwa Kwa makubaliano Yenu tangu mwanzo.
Kama Mtoto anasema anateseka, ustawi WA jamii upo
Kwa mwanaume sio sahihi kabisa!Habar Wana JF!
Kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa mtoto huyo aende akaishi na baba yake tutakapo oana, na yeye akaafiki na kweli baba mtoto alimchukua akawa anaishi naye, na baba wa huyo mtoto kaoa ana mke ana watoto wengine.
Sasa siku zimekatika majuzi huyu mke wangu kaenda kumsalimia mtoto wake Kwa baba yake , karudi ananiambia huyo mtoto wake anateseka sana huko, kakonda, hasomi nk, Kwa hyo anataka amchukue Kwa baba yake tuwe tunakaa naye sisi.
Naomba ushauri wenu wadau, itakuwa ni SAHIHI mimi kumlea mtoto wa KAMBO na baba yake yupo?.
Na kama mnavyojua changamoto za mtoto wa KAMBO sitakuwa na uhuru wakutosha kumlea ninavyotaka coz sio damu yangu. Hii imekaaje wadau?
Kwani mkuu, chuki yote hii kwa watoto sababu ni nini? Woga mkeo asigongwe na baba mtoto? Kuna vijana ni wapuuzi tu, wanazalisha wanakaa kwenye vijiwe wakilamba lips hawataki kusikia kuhusu responsibilities. Sasa kama uwezo upo, na mama yake umemtaka, na hajaficha uhalisia wake kuwa ana mtoto, na umemzalisha wadogo zake wengine, tatizo lipo wapi ukilea mtoto ambaye hukubambikiziwa umemkuta yupo na mwanamke uliyemtaka mwenyewe? Akileta umalaya si unamwacha? Tena unaweza kumwacha na bado watoto wote ukaendelea kuwalipia ada kama MUNGU amekubariki na kipato maana hata ukimtelekeza bado ni ndugu wa damu wa watoto wako. Umalaya ni wa mama.
Wakati mwingine hii mitoto ya kambo ndo unakuta inakuja kuwa bonge la kampan uzeeni, kuliko hata watoto wako.
Binadamu tuna utashi. Hakuna sababu ya kuwa fixed na fomula. Soma mazingira, ukiona kipato kipo, mama ana jielewa, umezaa nae watoto wengine, lea huyo uliyemkuta kama baba yake ni pimbi.Mkûu Wala hiyo siô chuki hiyo NI nature Kwa viumbe vingi