Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

Kitimoto ni haramu pia kwa majini, penye kitimoto jini halikatishi.. Kuna uhusiano gani???
Nimelisikia hilo tokea nikiwa mdogo lakini siamini kama lina ukweli.

Kijijini kwetu wengine walikuwa wanadiriki kutembea na fupa au jino la nguruwe ili kujikinga na mapepo lakini nafikiri hiyo ilikuwa ni imani tu isiyo na ukweli.
 
Kama sio kweli mwenye imani yake akujibu.
 
Una feli
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sijui hata nmecheka nini 🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo Haram... wacha wale wanaokula Haram wachinje.. tena nasikia huwa hachinjwii anapigwa rungu za kichwa... hatari sana aiseee.. mnyama anapigwa rungu la kichwaaa
Hiyo haram haikuumbwa na Allah? Sasa inakueje haramu? Unakula Bata, pweza kisha unamkosoa kitimoto?
 
Kwenye sehemu za chakula unajuaje hii nyama kachinja Muislam? Au wale kuku wa KFC, unajuaje kama ni halali? Ni asilimia nyingi sana watu wanakula vibudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…