Kwenye migahawa nyama wanatoa buchani.. buchani nyama wanatoa machinjion.. na huko machinjion ni only Muslim anachinja .. mbona simple kakaKwani wakienda kwenye migahawa na hoteli au kwa wauza mishkaki hua wanauliza aliechinja ni nani [emoji848]vitu vingine vya kipuuzi kweli
Alikudanganya naniKwenye migahawa nyama wanatoa buchani.. buchani nyama wanatoa machinjion.. na huko machinjion ni only Muslim anachinja .. mbona simple kaka
Naona unataka ubishi ambao hauna maana....Alikudanganya nani
Unakosea sanaa....Nani amesema mkristo yatakiw kuchinja binafs ukichinja huku unatanuia maneno ya kimajini pia huwa siri mpaka qchinje mkristo mwenzangu
Endapo Mkristo atataja Jina la Mwenyenzi Mungu Muislamu atakuwa huru kula?Muislam haruhusiwi kula kilicho chinjwa bila kutajwa jina la Mwenyezi Mungu
Muislam haamini katika mungu watatu kama mkristo kwahiyo hawezi kulaEndapo Mkristo atataja Jina la Mwenyenzi Mungu Muislamu atakuwa huru kula?
Wahenga walisema "Msafiri kafiri"Kwenye sehemu za chakula unajuaje hii nyama kachinja Muislam? Au wale kuku wa KFC, unajuaje kama ni halali? Ni asilimia nyingi sana watu wanakula vibudu
Wewe kinachokufanya useme ni haramu ni nini? Uharamu wake hasa ni nini?Hatakufa, lakini unafikiri atakuchukuliaje siku akigundua kuwa ulimlisha "haramu" kwa makusudi?
Masuala ya imani yapo very complicated. Si ya kuyachukulia kirahisi.
Siku za nyuma nilimsikia kiongozi mmoja akisema kama mnyama kachinjwanna Askofu Muislamu atakuwa huru kula? Kuna ukweli wowote katika hilo?Muislam haamini katika mungu watatu kama mkristo kwahiyo hawezi kula
Je Papuchi iliyopo kwenye mwili wa Mkristo wanakula?Waislam ni watu wa ajabu sana,wenyewe hawataki kula nyama iliyochinjwa na Mkristo,sasa sijui wanadhani wakristo ndio wanapenda kula mnyama aliye chinjwa na Muslims?
Hizo ni taratibu za kiislam, hazimhusu mkriso kea namna yoyote ile.Katika kuchinja kwa waislamu,kwanza uelekee kibla kwasababu kuchinja ni ibada,pili litajwe jina la Mwenyezi Mungu.
Je asiye muislamu anakamilisha vigezo hivyo?
Kwa nyongeza mnyama anatakiwa achinjwe kwa kisu kikali ili afe chap ili asiteseke sana
Hakuna kilicho haramu kwangu, lakini si kila kitu kinafaa kwangu.Wewe kinachokufanya useme ni haramu ni nini? Uharamu wake hasa ni nini?
Hapana Muislam haruhusiwi kula nyama ya mzoga au aliechinjwa kwa jina lisilokua la Mwenyezi Mungu.Siku za nyuma nilimsikia kiongozi mmoja akisema kama mnyama kachinjwanna Askofu Muislamu atakuwa huru kula? Kuna ukweli wowote katika hilo?
Nipunguzie mhemo kwa kuweka uthibitisho wa wapi imepitishwa "mkristo haruhusiwi kuchinja"Kaka... kosa langu ni lipi..? Mbona una comment kwa kuhema sana..?
Ni vigumu kutokula nyama iliyochonjwa na Muislamu. Mbona wamekuwa wakichinja tokea uhuru mapaka sasa? Kama umeshawahi kula nyama za buchani, basi umeshakula nyama ilivyochinjwa na Waislamu.Nani amesema mkristo yatakiw kuchinja binafs ukichinja huku unatanuia maneno ya kimajini pia huwa siri mpaka qchinje mkristo mwenzangu
Sheikh, dini ina taratibu zake sio mazoea. Katika sharti za kuchinja, kuelekea qibla haipo. Si lazima. Lililo la lazima ni kutajwa jina la Mwenyezimungu. Na lau aliyechinja si muislam, wala haulazimiki kuuliza kama alitaja jina la Mwenyezimungu. Lililo muhimu ni kuwa alichinja na hakuchinja kwa lengo la kutolea kafara au vitu mfano wa hivyo.Katika kuchinja kwa waislamu,kwanza uelekee kibla kwasababu kuchinja ni ibada,pili litajwe jina la Mwenyezi Mungu.
Je asiye muislamu anakamilisha vigezo hivyo?
Kwa nyongeza mnyama anatakiwa achinjwe kwa kisu kikali ili afe chap ili asiteseke sana
Sheria ya kiislam imeruhusu kiwindwa kuchinjwa baada ya kukimata. Unaweza kuwinda hata na mbwa, cha kuwinda hakihesabiki ni kibudu.Je ukimpiga risasi mnyama pori kama Mbogo akafa ndio ukachinja hii nayo ni kibudu ?.......maana kumpata akiwa hai ndio umkate shingo sio rahisi.
Hilo liko wazi kwa hapa Tanzania. Ninachojiuliza tu ni huwa wanafanyaje pindi wawapo kwenye nchi zisizo na huo utaratibu?Kwenye migahawa nyama wanatoa buchani.. buchani nyama wanatoa machinjion.. na huko machinjion ni only Muslim anachinja .. mbona simple kaka