macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hii y akupiga marungu ilikuwa ni miaka ya zamani sana. Siku hizi ''mdudu'' anachinjwa kama ng'ombe tu.Kama vile Wakristo wanavyompiga marungu nguruwe kisha wanamchinja. Vile haifai.
Na pale hujachinja, kuchinja ni kuua kwa kukata shingo. Ukishampiga marungu akafa inakuwa unamkata kata tu. Hiyo haifai.
Acha kuita "mdudu" chakula cha watu. Kwa wengine hicho ni chakula pendwa. Ni ushauri tu lakini.Hii y akupiga marungu ilikuwa ni miaka ya zamani sana. Siku hizi ''mdudu'' anachinjwa kama ng'ombe tu.
Ulaya kuna maduka yanayouza nyama ''halal'' na utakuta yameandikwa kabisa. Mengi yanamilikiwa na waturuki au waafrika kutoka kwenye mataifa kama Misri, Morocco na Tunisia.Hilo liko Waziri kwa hapa Tanzania. Ninachojiukiza tu ni huwa wanafanyaje pindi wawapo kwenye nchi zisizo na huo utaratibu?
Je, bidhaa imported zilizotokana na nyama kama soseji wanafanyaje?
Mimi ni mlaji mzuri wa nguruwe. Jina ''mdudu'' mbona ni common sana kwa sisi wala nguruwe? Uko dunia gani wewe!Acha kuita "mdudu" chakula cha watu. Kwa wengine hicho ni chakula pendwa. Ni ushauri tu lakini.
Basi samahani mkuu🙏Mimi ni mlaji mzuri wa nguruwe. Jina ''mdudu'' mbona ni common sana kwa sisi wala nguruwe? Uko dunia gani wewe!
Hakuna kitu maana Waislam, Wakristo na Wayahudi ni watu wa vitabu na wanaamini MunguMkristu akichinja kunakua na nini kwani?
Kwann uchinje..? Wakat unajua kbsaa wa kristo haitakiw kuchinja. ?
Bora!Hakuna kitu maana Waislam, Wakristo na Wayahudi ni watu wa vitabu na wanaamini Mungu
Ukichukua kisu kikali na kumchinja shingoni moja kwa moja kwa kutamka kwa kuanza na jina la Mungu basi hiyo nyama wote wanaweza kula
Ila asiwe kibudu au kumuuwa kwa njia tofauti na hivyo
Dini sio ngumu hivyo kama ukisoma na sio vibaya kusoma na za wengine kuongeza maarifa
Ila naona kuna watu wanapotosha wakati sheria zipo
Nibishane kisa vitu vya kipuuzi visivyo na maana🤔Naona unataka ubishi ambao hauna maana....
Kwahiyo vibudu vilikua vinaliwa sanaHii y akupiga marungu ilikuwa ni miaka ya zamani sana. Siku hizi ''mdudu'' anachinjwa kama ng'ombe tu.
Nafeli kivipi, Mimi ni mkristu siishi kwa sheria ila kwa neema ya MunguUna feli
Cheka rafiki Kuna mijitu inaishi kwenye gereza la kifikra Karne hadi Karne🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sijui hata nmecheka nini 🤣🤣🤣🤣
Utaratibu wa kuchinja tz uko pow wala hauna shida ndio maana hata waislam hununua nyama buchaninishindwe kununua kanyama robo buchani kisa sjui kachinja nan🙄🙄,oya weee kam una uwezo wa kuangusha ng'ombe home kwako hongera mkuu,,ila usitufokee sasa
Alieumbaa ndio aliekataza asiliweHiyo haram haikuumbwa na Allah? Sasa inakueje haramu? Unakula Bata, pweza kisha unamkosoa kitimoto?
Hataji jina la AllahMkristu akichinja kunakua na nini kwani?
Usilazimishe mambo usiyo na elimu nayoSheikh, dini ina taratibu zake sio mazoea. Katika sharti za kuchinja, kuelekea qibla haipo. Si lazima. Lililo la lazima ni kutajwa jina la Mwenyezimungu. Na lau aliyechinja si muislam, wala haulazimiki kuuliza kama alitaja jina la Mwenyezimungu. Lililo muhimu ni kuwa alichinja na hakuchinja kwa lengo la kutolea kafara au vitu mfano wa hivyo.