Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Ndio maana ukifikisha Miaka 17 inatakiwa utoke kwenu haya yote yanasababishwa na kujibana bana na wazazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni baba yangu mzazi wala sitokaa mbele yao maana makosa yao siwezi jua chanzo na mimi kwao ni mtoto so yes ntakubali kama ni mzee ana mwadhibu mkewe by the way naishi kwangu.Utakubali mtu ampige mama yako?
Kama wewe ndio mama angu ni sawa hayakukeri lkn kama ni huyu aliyenileta duniani matusi yanamkera sababu siyo mlevi kama mama angu weweHama kwenu haraka hizo laana unazitafuta iweje matusi yakukele wewe namamako hayamkeri mana yangemkera angeshavunja ndoa tangu enz zaujana
Jamaa mmoja mtu mzima na familia yake ana wazazi wake ambao wako above 60. Sasa dingi yake akajitia ukidume kumpiga mama yake mbele ya jamaa. Jamaa akaingilia na kumtwanga baba yake, akimkunja chini. Hili suala ni sahihi? Baba yako akimpiga mama yako mbele yako unaweza ungilia kupigana na dingi?
Ampige lakin sio nikiwa naona,jabo sio hekima maana kipondi wanapata mtoto hakuwepoJamaa mmoja mtu mzima na familia yake ana wazazi wake ambao wako above 60. Sasa dingi yake akajitia ukidume kumpiga mama yake mbele ya jamaa. Jamaa akaingilia na kumtwanga baba yake, akimkunja chini. Hili suala ni sahihi? Baba yako akimpiga mama yako mbele yako unaweza ungilia kupigana na dingi?
Hata huyu jamaa ninayemsimulia anaishi kwake.kama ni baba yangu mzazi wala sitokaa mbele yao maana makosa yao siwezi jua chanzo na mimi kwao ni mtoto so yes ntakubali kama ni mzee ana mwadhibu mkewe by the way naishi kwangu.
Wew nahuyo mamako hameni hapo usimpangie mwenye mji kazKama wewe ndio mama angu ni sawa hayakukeri lkn kama ni huyu aliyenileta duniani matusi yanamkera sababu siyo mlevi kama mama angu wewe
HaswaaaWazazi wenye busara hawagombani mbele ya watoto
Haya mambo ya Laana ndo yanaturudisha nyuma sana kimaendeleo. Kina mama kibao wameuawa na wengine kutiwa vilema kisa kupigwa na waume zao ambao pia ni wapenzi. Ni kweli hatujui walipotoka ila tunajua kitakachotokea baada ya mtu kuumizwa kwa kipigo. Mimi nashauri kijana ukishamaliza form six hama kabisa nyumbani. Na uende ukaishi mbali kabisa na wazazi kama kuna uwezekano. Itakuepusha na mambo mengi.NI LAANA MKUU.
Mama yako kwa Baba yako ni wapenzi kwaiyoo wewe waamue tuu. na usipende kuwaingilia watu na mapenzi yao hujui walipotoka.
Imagine mama yako anatiwa kilema mbele yako!! Mimi nilihama nyumbani mapema sana kwasababu hii laana ilikuwa inaninyemelea sana. Nikawa napata stori za ugomvi nikiwa mbali sana. Mama kupigwa kama mtoto huku analia mnaona kiukweli ni kitu ambacho kinaumiza mno. Ningeendelea kukaa home ningepata tu laana kwasababu haivumiliki.NDIO KWASABABU MAMA SIO NGOMA, HASWA KAMA UMETHIBITISHA ANAONEWA.
Unaongea kirahisi sana kwasababu labda haijakutokea. Mama yako kupigwa kichapo cha maana mbele yako huku analia kama mtoto ni kitendo kinachoumiza kupitiliza.Huyu unaemwita mama mwenzio anamwita mke au baby wake nawamejuana kitambo kabla hujazaliwa sasa usimpangie mtu maisha nampenz wake kaa pemben au nenda kwamkeo
Watoto siku zote hua mnaegemea kwamama hii nkwakua wanaume hawajaumbiwa kulalamika nakamwe mamako hawez kusema et babako ananipiga kisa nimechepuka atakwambia babako ananipiga bila kosaUnaongea kirahisi sana kwasababu labda haijakutokea. Mama yako kupigwa kichapo cha maana mbele yako huku analia kama mtoto ni kitendo kinachoumiza kupitiliza.
Mkuu uko sahihi 100%. Ni kweli madingi wakiamua kusema kila kitu itakuwa balaa kwa mama zetu. Ila kuona mama yako anapigwa mbele yako ni jambo lisilovumilika iwe kwa sababu yoyote ile. Na sio mama tu hata baba yako huwezi kukubali kuona alipigwa au kunyanyaswa mbele yako na kiumbe yeyote hata kama yeye ndo kalianzisha. Mimi nina bifu na watu wote ambao waliwahi kumweka ndani mzee wangu hata kama kosa lilikuwa la mzee.Watoto siku zote hua mnaegemea kwamama hii nkwakua wanaume hawajaumbiwa kulalamika nakamwe mamako hawez kusema et babako ananipiga kisa nimechepuka atakwambia babako ananipiga bila kosa
Mimi siwezi kuvumilia baba atakipatapata.Kaka yangu aliwahi mpiga dingi ndonga moja ya maana ikawa ndo mwisho.Imagine mama yako anatiwa kilema mbele yako!! Mimi nilihama nyumbani mapema sana kwasababu hii laana ilikuwa inaninyemelea sana. Nikawa napata stori za ugomvi nikiwa mbali sana. Mama kupigwa kama mtoto huku analia mnaona kiukweli ni kitu ambacho kinaumiza mno. Ningeendelea kukaa home ningepata tu laana kwasababu haivumiliki.
Sawa mama anguWew nahuyo mamako hameni hapo usimpangie mwenye mji kaz
Kama unaitaka laana fanya ujinga huoKwa zamani nadhani ilikuwa ngumu
But nowdays Dingi kichapo kinamhusu mbona! Tena fasta tu!