Ni sahihi kumpa kichapo dingi iwapo anampiga mama?

Ni sahihi kumpa kichapo dingi iwapo anampiga mama?

Hama kwenu haraka hizo laana unazitafuta iweje matusi yakukele wewe namamako hayamkeri mana yangemkera angeshavunja ndoa tangu enz zaujana
Kama wewe ndio mama angu ni sawa hayakukeri lkn kama ni huyu aliyenileta duniani matusi yanamkera sababu siyo mlevi kama mama angu wewe
 
Jamaa mmoja mtu mzima na familia yake ana wazazi wake ambao wako above 60. Sasa dingi yake akajitia ukidume kumpiga mama yake mbele ya jamaa. Jamaa akaingilia na kumtwanga baba yake, akimkunja chini. Hili suala ni sahihi? Baba yako akimpiga mama yako mbele yako unaweza ungilia kupigana na dingi?

Anatafuta laana tu.

Si vizuri kupigana au kumpiga mwenzi wako, lakini ulingana hii stori HAPO INA MAANISHA HUYO SI MAMA YAKE BALI NI MKE WAKE.
 
Jamaa mmoja mtu mzima na familia yake ana wazazi wake ambao wako above 60. Sasa dingi yake akajitia ukidume kumpiga mama yake mbele ya jamaa. Jamaa akaingilia na kumtwanga baba yake, akimkunja chini. Hili suala ni sahihi? Baba yako akimpiga mama yako mbele yako unaweza ungilia kupigana na dingi?
Ampige lakin sio nikiwa naona,jabo sio hekima maana kipondi wanapata mtoto hakuwepo
 
kama ni baba yangu mzazi wala sitokaa mbele yao maana makosa yao siwezi jua chanzo na mimi kwao ni mtoto so yes ntakubali kama ni mzee ana mwadhibu mkewe by the way naishi kwangu.
Hata huyu jamaa ninayemsimulia anaishi kwake.
 
Kama wewe ndio mama angu ni sawa hayakukeri lkn kama ni huyu aliyenileta duniani matusi yanamkera sababu siyo mlevi kama mama angu wewe
Wew nahuyo mamako hameni hapo usimpangie mwenye mji kaz
 
Ni mwehu, mwambie aache kuingilia mapenzi ya watu.
 
NI LAANA MKUU.

Mama yako kwa Baba yako ni wapenzi kwaiyoo wewe waamue tuu. na usipende kuwaingilia watu na mapenzi yao hujui walipotoka.
Haya mambo ya Laana ndo yanaturudisha nyuma sana kimaendeleo. Kina mama kibao wameuawa na wengine kutiwa vilema kisa kupigwa na waume zao ambao pia ni wapenzi. Ni kweli hatujui walipotoka ila tunajua kitakachotokea baada ya mtu kuumizwa kwa kipigo. Mimi nashauri kijana ukishamaliza form six hama kabisa nyumbani. Na uende ukaishi mbali kabisa na wazazi kama kuna uwezekano. Itakuepusha na mambo mengi.
 
NDIO KWASABABU MAMA SIO NGOMA, HASWA KAMA UMETHIBITISHA ANAONEWA.
Imagine mama yako anatiwa kilema mbele yako!! Mimi nilihama nyumbani mapema sana kwasababu hii laana ilikuwa inaninyemelea sana. Nikawa napata stori za ugomvi nikiwa mbali sana. Mama kupigwa kama mtoto huku analia mnaona kiukweli ni kitu ambacho kinaumiza mno. Ningeendelea kukaa home ningepata tu laana kwasababu haivumiliki.
 
Huyu unaemwita mama mwenzio anamwita mke au baby wake nawamejuana kitambo kabla hujazaliwa sasa usimpangie mtu maisha nampenz wake kaa pemben au nenda kwamkeo
Unaongea kirahisi sana kwasababu labda haijakutokea. Mama yako kupigwa kichapo cha maana mbele yako huku analia kama mtoto ni kitendo kinachoumiza kupitiliza.
 
Unaongea kirahisi sana kwasababu labda haijakutokea. Mama yako kupigwa kichapo cha maana mbele yako huku analia kama mtoto ni kitendo kinachoumiza kupitiliza.
Watoto siku zote hua mnaegemea kwamama hii nkwakua wanaume hawajaumbiwa kulalamika nakamwe mamako hawez kusema et babako ananipiga kisa nimechepuka atakwambia babako ananipiga bila kosa
 
Watoto siku zote hua mnaegemea kwamama hii nkwakua wanaume hawajaumbiwa kulalamika nakamwe mamako hawez kusema et babako ananipiga kisa nimechepuka atakwambia babako ananipiga bila kosa
Mkuu uko sahihi 100%. Ni kweli madingi wakiamua kusema kila kitu itakuwa balaa kwa mama zetu. Ila kuona mama yako anapigwa mbele yako ni jambo lisilovumilika iwe kwa sababu yoyote ile. Na sio mama tu hata baba yako huwezi kukubali kuona alipigwa au kunyanyaswa mbele yako na kiumbe yeyote hata kama yeye ndo kalianzisha. Mimi nina bifu na watu wote ambao waliwahi kumweka ndani mzee wangu hata kama kosa lilikuwa la mzee.
 
Imagine mama yako anatiwa kilema mbele yako!! Mimi nilihama nyumbani mapema sana kwasababu hii laana ilikuwa inaninyemelea sana. Nikawa napata stori za ugomvi nikiwa mbali sana. Mama kupigwa kama mtoto huku analia mnaona kiukweli ni kitu ambacho kinaumiza mno. Ningeendelea kukaa home ningepata tu laana kwasababu haivumiliki.
Mimi siwezi kuvumilia baba atakipatapata.Kaka yangu aliwahi mpiga dingi ndonga moja ya maana ikawa ndo mwisho.
 
Back
Top Bottom