Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

Ukweli ndio huo, siku hizi binti akifika 22yrs ashaliwa sana yani.
Kwa taarifa ya wanaume wote humu.
Ukiona binti singo au hajaolewa anaposti msosi mkali ujue baada ya kula kaliwa🤣🤣🤣🤣

Akiposti location kali ujue mwamba ndio kamfotoa.
Yaani kibongo bongo binti hadi aolewa katumika sana tena katumiwa na wazee rika la babako.

5% angalau wao walijitunza😁😁😁
Mkichukia niueni
Ushimen ERoni National Anthem
🙁🙁🙁 .. huu ni ukweli mchungu sana, tuishi nao tu mkuu, maana hakuna namna maisha ya sasa hivi watu hawaoni tena thamani ya kuficha tupu zao.. kuna ile mtu anatembea mahala anakuwa kama yupo uchi tu 😅😅
 
Back
Top Bottom