Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

kama ni zawadi amezikuta sitoi explanation ya kitu chochote nilicho nacho maana najua na yeye ana boxer alizonunuliwa na x wake na anazivaa
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Wala siishi kitawa ila kumrudia mtu Tumeachana naonaga kupoteza mda wanaume wapo wengi matoleo mapyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa hiyo ukiachwa unasaka dudu jipyaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Nisamehe akili yangu leo haiko poa nina ukameπŸ˜‚
 
kama ni zawadi amezikuta sitoi explanation ya kitu chochote nilicho nacho maana najua na yeye ana boxer alizonunuliwa na x wake na anazivaa
We phalla una akili sana🀣
 
Kwa hiyo walioolewa wakipost ndio wanakuwa wamejinunulia au wamenunuliwa na waume zao?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Dah ndio maana sipostigi dinner nikiwa Karambezi😁😁
Unakula pesa za wanaume kimya kimya mjinga sana wewe😁😁
 
Kwa hiyo ukiachwa unasaka dudu jipyaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Nisamehe akili yangu leo haiko poa nina ukameπŸ˜‚
Sasa ushasema nimeachwa nimlazimishe???🀣🀣
 
Chapa chapa mkuu kwani ukiremba bado unasingiziwa🀣🀣🀣
Eeenh mkuu, tumalizie kula vinono mda hautoshi🀣🀣🀣
 
Shemeji mimi ni kataa ndoa kindaki ndaki...🀣
Kwani watu wanaoa ili wagundue nini..πŸ™„
🀣🀣🀣🀣🀣Dah,,,Kwa hiyo ndoa ni uchawi shemeji?
 
Back
Top Bottom