Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,292
- 2,382
hiyo ni kweli. ilishanikutaWakati mwingine wanawake hua mnajitakia kupigwa vibuti wenyewe.
Yaani hakuna mwanaume anaeweza kukubali hata kuona au kusikia kwamba bado unawasiliana na X wako "ukiacha zawadi".
Na ikitokea mwanaume amegundua ama amejua kwamba unawasiliana na X, ama umepewa zawadi na X, kisha ukamuona amenyamaza bila kuchukua hatua yeyote basi tambua kwamba anakuvumilia tu, ila anakulia timing